Mzee Majuto Adai Kushobokewa na Vibinti
Staa mkongwe kunako filamu Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amefungukia shutuma anazopewa na mashabiki wake kwa kupenda kuonekana na ‘vibinti’ kuwa wanamshobokea mwenyewe. Mzee Majuto ambaye kifani...
View ArticleMsumbiji Yahalalisha Mapenzi Ya Jinsia Moja
Nchi ya Msumbiji imepitisha sheria inayohalalisha mapenzi ya jinsia moja, na kuwa miongoni mwa nchi chache Barani Afrika zinazoruhusu mapenzi ya jinsia moja. Sheria hiyo iliyowekwa na wakoloni wa...
View ArticleAfande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni
Afande Sele amesema akiingia bungeni hawezi kuwasahau wasanii wenzake kama walivyosahauliwa na wasanii wabunge waliotangulia kuingia mjengoni. Rapper huyo atawania kiti cha ubunge wa jimbo la...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kisu Wakigombea Mwanamke
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti katika Wilaya za Tarime na Rorya akiwemo mtu aliyeuawa wakati wanagombania mwanamke. Waliokufa ni Chacha Mwita (24) aliyechomwa kisu kifuani na...
View ArticleKesi ya Gwajima Yapigwa Kalenda
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa...
View Article.Ukawa: NEC inatuvurugia mipango majimboni
Dar es salaam. Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ameishukia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushindwa kutangaza mgawanyo wa majimbo, akisema kuchelewa huko kunavuruga...
View ArticleNyumba ya Jay Dee yapigwa mnada
Kampuni ya udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers inapiga mnada wa nyumba ya mwanamuziki nyota wa bongo fleva, Lady Jay Dee, baada ya kushindwa kulipa deni alilokopa kutoka taasisi ya fedha ya...
View ArticleWarioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya...
View ArticleRisasi zarindima BVR, mkutano ZEC wavunjika
Zanzibar. Wakati watu watano wakijeruhiwa, wawili kwa kupigwa risasi, kwenye uandikishaji wa wapigakura eneo la Makunduchi, mkutano baina ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar na wadau umevunjika kutokana na...
View ArticleDr Shein Apitishwa Kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM.
Kamati kuu maalum ya chama cha mapinduzi Zanzibar kwa kauli moja imempitisha Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya wajumbe wa...
View ArticleSoko la hisa China kuwatisha Wawekezaji
Licha ya hatua ya serikari kuyachepua masoko ya fedha katika siku za hivi karibuni, hali ya wasiwasi imezuka kwa wawekezaji nchini China kutokana na kushuka kwa hisa kwa masoko ya fedha nchini humo....
View ArticleBi Hindu Awa kiongozi Simba
Mtangazaji wa 100.5 Times fm Bi Chuma Suleimani a/k/a Bi Hindu ameteuliwa kuwa Mwanamke pekee katika Baraza jipya la wazee la klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC lililotangazwa na kamati ya utendaji...
View ArticleRais Kikwete Awakemea Wanaotumia fedha ili kupata madaraka
RAIS Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini kutowapa mwanya wanasiasa wenye dhamira ovu ya kuwafarakanisha Watanzania bali waendelee kukemea matumizi mabaya ya fedha, rushwa na hujuma...
View ArticleMarekani bingwa kombe la Dunia wanawake
Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2. Katika fainali hii makubwa yaliweza jitokeza katika uwanja wa Vancouver mbele ya hamsini elfu mashabiki...
View ArticlePower Circuit of a single (1) Phase Direct On Line DOL Electric Motor...
Further to the previously discussed electric motor controller with a three (3) phase Direct On Line (DOL) power circuit is the application of similar DOL power circuit for a single (1) phase small...
View ArticleMbunge Wa CHADEMA Ajivua Uanachama……Asema Kama CHADEMA Wanaubavu Wakalikomboe...
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini...
View ArticleUKAWA Wajitoa Rasmi Bungeni….Waondoka Mjini Dodoma
UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma...
View ArticleAficha Mwili wa Marehemu ndani kwa Siku sita bila watu kufahamu
Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Biti Karo Mkazi wa Mkuranga, Kimanzichana Mtaa wa Makonde amefanya tukio la ajabu na la kushanga kwa jamii, mara baada ya kukaa na mwili wa marehemu Mama yake kwa...
View ArticlePwani kuanza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura
Zoezi la uandikishwaji kwenye daftari la kudumu la kupiga kura kwa njia ya kieletroniki BVR lipo mkoa wa Pwani kwa sasa na linaanza rasmi leo tarehe 7 mwezi wa saba. Zoezi hilo linatarajiwa kumalizika...
View ArticleBayern wapo tayari kutoa Muller na Robben ili wamnase Di Maria.
Kazeti la Bild la nchini ujerumani limeandika habari kwamba Kocha Mkuu wa Klabu bingwa wa kombe la Bundesliga Bayern Munich, Pep Guardiola yupo radhi kubadilishana kwa kuwatoa washambuliaji wake...
View Article