Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Bayern wapo tayari kutoa Muller na Robben ili wamnase Di Maria.

$
0
0

Kazeti la Bild la nchini ujerumani limeandika habari kwamba Kocha Mkuu wa Klabu bingwa wa kombe la Bundesliga Bayern Munich, Pep Guardiola yupo radhi kubadilishana kwa kuwatoa washambuliaji wake Thomas Muller na Arjen Robben na kiasi cha fedha na kuwapa Manchester United ili wapewe winga machachari Angel Di Maria. Msimu uliopita Angel Di Maria hakuweza kuonyesha cheche zake ndani ya Manchester United ambapo alitoka klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa ada ya paund million 60 lakini bado kocha Pep amekua akimtolea macho Di Maria. Hili linaweza kuwashawishi Manchester United ambao tayari walishaonyesha nia ya kutaka kusajili mshambuliaji Thomas Muller. FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles