Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 14 2016 kwenye,Udaku, Hardnews...

; [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article


Ishu ya kubwia unga, JK amuonya Ray C

 Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’. DAR ES SALAAM: Wakati msuguano mkubwa ukiwa umeibuka, Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akisukuma madongo kwa Magazeti Pendwa ya Global Publishers...

View Article


NMB yatoa neema kwa Hospitali na vituo vya Afya Nchini

Benki ya NMB leo imesaini makubaliano na shirika lisilo la kiserikali la STICHTING MEDICAL CREDIT FUND (MCF) la nchini Uholanzi kwaajili ya kutoa fursa za mikopo nafuu kwa hospitali, vituo vya Afya na...

View Article

Waziri Nape afanya Ziara mkoani Kagera

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akisalimiana na uongozi wa mkoa wa Kagera baada ya kuwasili mkoani hapo akiwa kwenye ziara ya kutembelea maeneo yanayohusu sekta za wizara,...

View Article

EALA Tanzania wakutana na Kamati za Bunge la Tanzania

Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (Eala) wameomba ushirikiano kutoka kwa wabunge wenzao wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kusaidia kuwaelimisha na kuwahamasisha...

View Article


Wafanyabiashara kutoka nchini Oman wafanya ziara mkoani Tanga

       Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maabara za Vetenari Tanzania “TVLA” Dkt. Furaha Mramba akiwakaribisha baadhi ya wafanyabiashara kutoka nchini Oman waliopo nchini kwa ziara ya siku tatu (3)...

View Article

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwili uliozama na gari baharini ulivyopatikana Dar es salaam

April 20 2016 imeripotiwa habari ya kuzama kwa gari lililokuwa ndani ya Pantoni lililokuwa linavuka kuelelekea Kigamboni jijini Dar es salaam, gari hilo liliserereka kutoka kwenye Pantoni na kuzama...

View Article


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad...

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Juma Assad amekabidhi ripoti ya ukaguzi ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2015 bungeni leo ili iweze kujadiliwa na wabunge katika Bunge...

View Article


Kilichomfanya Siwema wa Nay wa Mitego Afungwe Miaka Miwili Gerezani ni...

Wiki iliyopita zilianza kusikika taarifa mbalimbali kuhusu kuhukumiwa kwa mpenzi wa zamani na mama mtoto wa msanii Nay wa Mitego aliyehukumiwa kwenda jela miaka miwili  jijini  Mwanza.   Pamoja na...

View Article