Nyota Ya Lowassa Bado Inang’aa: Utafiti Mpya Waonyesha Anaongoza Kwa Kupendwa...
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa...
View ArticleMipasho Yaendelea Bungeni…..Waziri Simba Adai Wabunge Wa Upinzani "Wanawashwa"
Kama unadhani mipasho ipo katika nyimbo za taarabu tu, hakika utakuwa umekosea sana. Hapa bungeni kauli zenye utata, kejeli na dhihaka ni mambo yaliyoshika hatamu tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti Mei...
View ArticleMakamu wa Rais Zanzibar amuunga mkono Membe
Dar es Salaam. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema atakuwa bega kwa bega na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika mbio zake za kuwania...
View ArticleWabunge wamkaanga Magufuli
Dar/Dodoma. Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli amekuwa hapati wakati mgumu anapowasilisha bajeti ya wizara hiyo, lakini hali ilikuwa tofauti jana wakati wabunge walipoungana kueleza hofu yao...
View ArticleHow to build Geomagnetic field detector
This basic oscillator will detect the Earth magnetic field. The ferrite rod and coil are taken from an old Medium Wave receiver and a small magnet is glued at one end. Tune to a medium wave commercial...
View ArticleHow to build Frost Alarm
The thermistor used has a resistance of 15k at 25 degrees and 45k at 0 degrees celsius. A suitable bead type thermistor is found in the Maplin catalogue. The 100k pot allows this circuit to trigger...
View ArticleRegulated Power Supply
INTRODUCTION Almost all basic household electronic circuits need an unregulated AC to be converted to constant DC, in order to operate the electronic device. All devices will have a certain power...
View ArticleMarekani yahamisha 6 kutoka Guantanamo
Marekani inasema kuwa imewaamisha wafungwa sita raia wa Yemen waliokuwa wamezuiliwa kwa miaka mingi katika gereza la Guantanamo kwenda nchini Oman. Makao makuu ya jeshi la Marekani yametoa shukran kwa...
View ArticleMwanaharakati anayejifanya mtu mweusi
Wazazi wa mwanaharakati mmoja wa haki za raia nchini Marekani wamesema kuwa anajifanya kuwa mtu mweusi kwa miaka kadhaa sasa. Rachel Dolezal analifanyia kazi shirika liitwalo National Association for...
View ArticleDaesh wamiminia risasi waandamanaji nchini Libya
Watu kadhaa wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi la ufyatuaji risasi ovyo dhidi ya waandamanaji lililofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, mjini Derna Libya,...
View ArticleMafuriko Ya Lowassa Yatua Kigoma……Azoa Wadhamini 11,250
Umati wa WanaCCM pamoja na wananchi wa Mji wa Kigoma, ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma, kuja kumuona Mh. Edward Lowassa (anaeonekana kule mbele) wakati alipofika kuomba...
View ArticleFloat and Boost Charging of Batteries
Float charging is used where the battery rarely gets discharged. A typical application where float charging can be used would consist of the float charger, battery and the load in parallel. During...
View ArticleBattery Testers – An Overview
Battery Testers are used in the automobile industry to test the battery. These testers work by measuring the maximum CCA ( Cold Cranking Amps) the battery can provide. Prior to the test, a selection...
View ArticleAmpere Hours and Battery Capacity
The Capacity of a battery is the quantity of energy a battery can store and deliver. The capacity of a battery is usually indicated in terms of Ampere hours or Ah. This is also known as the rated...
View ArticleFaiza Ally Awaacha Watu hoi Tuzo za Kill 2015
Mwanadada faiza ally amezua gumzo kwenye fainali tuzo za Kilimanjaro music Award zilizofanyika usiku wa kuamkia jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. Mwanadada huyo alitinga kwenye...
View ArticleLowassa Aendelea Kupata Maelfu ya Wadhamini Mikoa ya Katavi na Rukwa.
Waziri mkuu wa zamani Mh. Edward Lowasa ameendelea na ziara yake ya kutafuta wadhamini katika mikoa ya Katavi na Rukwa na kupata maefu ya wadhamini na amewataka waananchi waliojiandikisha kutunza...
View ArticleRais Obama Kupelekewa ‘kifimbo’ cha Nyerere
Raisi Barack Obama RAIS wa Marekani, Barack Obama anatarajiwa kuwa kiongozi wa tatu duniani kuanza kubeba kifimbo kama kile cha Mwalimu Nyerere ambacho tayari kimechongwa kwa ajili yake na msanii yule...
View ArticleUrais 2015: Wanachama CUF waitikisa Dar, Prof. Lipumba Achukua Fomu ya...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba jana alianzisha mchakato wa kuwania urais kupitia muungano wa kambi ya upinzani nchini unaofahamika kama Ukawa, huku akisema yeye ndiye...
View ArticleAl Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya
Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya hapo jana alikuwa ni raia wa Uingereza. Duru za kijasusi za jeshi la Kenya zinasema...
View ArticleAmama Mbabazi atampinga rais Museveni
Raisi Museveni Waziri mkuu wa zamani wa Uganda Amama Mbabazi atampinga rais Yoweri Museveni kuwania tikiti ya urais wa chama cha NRM. Bwana Amama Mbabazi anataka kuwania kiti cha urais dhidi ya...
View Article