Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Mwanaharakati anayejifanya mtu mweusi

$
0
0

Wazazi wa mwanaharakati mmoja wa haki za raia nchini Marekani wamesema kuwa anajifanya kuwa mtu mweusi kwa miaka kadhaa sasa. Rachel Dolezal analifanyia kazi shirika liitwalo National Association for the Advancement of Colored People NAACP huko Spokane takriban maili 280 mwa mji wa Seattle kazkazini magharibi mwa Marekani. Kulingana na msemaji wa gazeti la Review,Dolezal amesema kuwa yeye ni mchanganyiko wa mtu mweupe,mweusi na muhindi wa Marekani katika ombi lake alilowasilisha kwa tume ya polisi inayosimamia malalamishi ya raia mnamo mwezi Januari. Ombi hilo sasa linachunguzwa.Meya wa mji wa Spokane David Condon na rais wa baraza la mji huo Ben Stuckart alitoa taarifa. Kwa miaka mingi Rachel Dolezal anasema kuwa yeye ni mzaliwa mwenye mizizi ya Kiafrika na Marekani madai ambayo wazazi wake wamekana.Nilikutana na Rachel Dolezal na sikuwa na wasiwasi kuhusu anakotoka. Wazazi wa Dolezal ambao ni wazungu Ruthanne na Lawrence wamesema kuwa ni mwana wao wa kumzaa. FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles