Akina Mama Waandamana Kudai miili ya Waliouawa na Askari Kwa Kupigwa Risasi...
KINAMAMA kutoka Kata ya Bukundi Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wameandamana hadi kwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Erasto Sima, kushinikiza wapewe miili ya vijana wao wawili waliouawa na askari Mei 29, mwaka...
View ArticleMwili wa Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba...
MWILI wa Mufti ,Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba unataraji kusafirishwa kesho Jumanne Juni 16, kuelekea mkoani Shinyanga kwa ajili ya taratibu za mazishi. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye...
View ArticleJeb Bush kugombea urais Marekani
Mwanasiasa wa chama cha Republican, na gavana wa jimbo la Florida, Jeb Bush ametangaza rasmi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania nafasi ya urais wa taifa hilo kubwa duniani kiuchumi kwa tiketi ya...
View ArticleConfirmed: Wema Sepetu Kugombea Ubunge Mwaka Huu.
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu jana June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM alifunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida...
View ArticleWaziri Mmarekani amuuliza JK utitiri wa wagombea urais
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini (kushoto), Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya...
View ArticleProf Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo
Dar es Salaam. Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk...
View ArticleHizi ndizo ndoto za waowania urais za kuiondoa nchi kwenye umaskini
Oktoba mwaka huu Watanzania wanatarajia kumpokea rais mpya wa awamu ya tano kwa imani kuwa atakata kiu kubwa ya watu wanaopenda kuona wanawekewa mazingira mazuri ya kuondokana na umaskini. Uzoefu wa...
View ArticleWanajeshi watibua shambulizi Somalia
Vikosi vya usalama nchini Somalia vinasema kuwa vimetibua jaribio la mlipuaji wa kujitoa muhanga dhidi ya mkutano wa wanasiasa katikati ya taifa hilo. Maafisa wa polisi wanasema kuwa wamewaua watu...
View ArticleNeymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
Nyota wa timu ya Brazil Neymar alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya kinyang’anyiro cha Copa America baada ya timu yake kufungwa na Colombia kwa mara ya kwanza tangu mwaka...
View ArticleRaia wa Liberia awania uongozi wa FIFA
Mwenyekiti wa shirikisho la soka nchini Liberia Musa Bility ametangaza mpango wake wa kutaka kuwania urais wa shirikisho la soka duniani FIFA akisema ni wakati wa Afrika kuongoza. Afisa huyo mwenye...
View ArticleMbowe: Nitagombea tena ubunge Hai
Hai. Siku moja baada ya kuhukumiwa kulipa faini Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la shambulio la kawaida dhidi ya aliyekuwa mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu uliopita, Mbunge wa Hai...
View ArticleNape Amshambulia Freeman Mbowe……..Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa...
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema...
View ArticleUrais 2015: Mwakyembe Achukua fomu, Azungumzia Sakata la Richmond
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea urais, huku akisema hana chuki na mtu yeyote kwa sababu sakata la Richmond halikuwa...
View ArticleGreen Guard Wampa Kichapo Kizito Mgombea Urais wa CCM Aliyetaka Kutibua...
Harakati za makada wa CCM wanaowania urais kusaka wadhamini mkoani zinaendelea kukumbwa na vituko baada ya wanamgambo wa chama hicho, maarufu kama Green Guards, kumshushia mkong’oto Dk Mussa Muzamill...
View ArticleMaafisa wa polisi washambuliwa Burundi
Kumekuwa na msururu wa mashambulizi ya maguruneti kuwalenga maafisa wa polisi katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura. Maafisa wa usalama wanasema kuwa takriban polisi 11 walijeruhiwa usiku kucha....
View ArticleKocha wa Taifa Stars Maart Nooij na Benchi Lake Lote La Ufundi Watimuliwa Kazi
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Maart Nooij akisindikizwa na ulinzi mkali usiku wa kuamkia leo baada ya kumalizika kwa mchezo wa Tanzania na Uganda wa kuwania kufuzu fainali za CHAN katika Uwanja wa Amaan...
View ArticleJaji Warioba: Sitaongea Chochote Kuhusu Uongozi kuelekea Uchaguzi
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema hatoongea chochote kinachohusu masuala ya uongozi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unatarajia...
View ArticleHoteli JB Belmont Yafungwa Mwanza kwa Kushindwa Kutimiza Masharti ya Mkataba.
HOTELI yenye hadhi ya nyota tano ya JB Belmont iliyoko jijini hapa, imefungwa kwa kile kilichoelezwa kuwa imeshindwa kutimiza masharti ya mkataba baina yake na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana Aanza Ziara Mwanza Leo.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, leo anatarajia kuanza ziara ya siku kumi mkoani hapa, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama. Taarifa...
View ArticleJaffarai Feat Kassim Mganga Wakati Official Music Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View Article