Iniesta: Haitowezekana Kwa Man Utd Kumsajili Ramos
Kiungo wa klabu bingwa nchini Hispania, Andres Iniesta amepingana na vyombo vya habari vya nchini England, vinavyoendelea kulikuza sakata la uhamisho wa beki wa klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos....
View ArticleKenya Yatangaza Msimamo Ndoa Za Jinsia Moja
Makamu wa rais wa Kenya William Ruto, ameonya kuwa ndoa za jinsia moja ni haramu na kuwa hazitawahi kuruhusiwa nchini humo. Ruto ametangaza msimamo huo mkali siku chache tu kabla ya ziara ya rais wa...
View ArticleSteven Gerrard awafanyia Surprise Mashabiki wa Marekani
Hatimae aliyekua nahodha na kiungo wa klabu ya Liverpool, Steven George Gerrard amejitokeza hadharani na kuwasalimu mashabiki wa klabu ya LA Galaxy baada ya kuwa shuhuda wa mchezo wa klabu hiyo wa...
View ArticleFacebook yawa mwiba China, talaka nje nje
Shirika la habari la serikali nchini China, limeripoti ongezeko la wanandoa wanaotengana kufuatia matumizi ya kupita kiasi ya mtandao wa facebook jambo ambalo limefanya wapenzi kutumia muda mwingi...
View ArticleLIPUMBA: Tutaitisha Maandamano Mikoa Yote Yenye GESI
Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kitaitisha maandamano kwenye mikoa yenye gesi ili kulishinikiza Bunge kupinga muswada wa mafuta na gesi uliopitishwa juzi. Akihutubia wakazi wa Manispaa ya...
View ArticleCHADEMA Yaitisha Kikao cha Dharura Kujadili Adhabu Waliyopewa Wabunge wa...
Homa ya Uchaguzi Mkuu imeifanya Chadema kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kujadili mambo ya kitaifa, ikiwamo adhabu waliyopewa wabunge wa Ukawa kabla ya kutoa tamko. Kikao hicho...
View ArticleMgombea ACT -Wazalendo Aahidi Kuwasaidia Wanawake
MTIA nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kahama kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Clara Masanja amesema endapo atapewa ridhaa na chama hicho na kushinda nafasi hiyo, atahakikisha anawajengea...
View ArticleYou are so pretty’, ni kauli ya Jay Z alipomuona Vanessa Mdee
Vanessa Mdee anaweza kumfanya Beyonce anune au apate wivu kwakuwa muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ aliwahi kulivutia jicho la rapper mwenye nguvu zaidi duniani, Sean Carter aka Jay Z. Akiongea kwenye...
View ArticleMchungaji Mtikila Atangaza Kuwafikisha Mahakamani Wasaka Urais 6 wa CCM……Yumo...
CHAMA cha Democratic Party (DP) kimetangaza kwenda mahakamani kukishtaki Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na makada wake sita kutokana na kukiuka sheria ya nchi, taratibu pamoja na kanuni za uchaguzi....
View ArticleKauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Kuwazuia Wananchi Kwenda Dodoma Hadi Mkutano...
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuwazuia wananchi kusafiri kwenda Dodoma hadi Mkutano Mkuu wa CCM utakapomalizika, imepingwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa vijana wa chama hicho,...
View ArticleRais Wa FC Barcelona Atoa Kali Ya Mwaka
Raisi wa klabu ya Barcelona Josep Bartomeu ameonyesha dhamira ya “ Sizitaki Mbichi Hizi ” baada ya kuuthibitishia umma walikua hawana mpango wa kumsajili kiungo kutoka nchini Ufaransa pamoja na klabu...
View ArticleTanzanite Kuwakabili Young She-Polopolo Jumamosi
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo)...
View ArticleChelsea Yalinasa Kinda La Kibrazil
Mshambuliaji wa klabu ya Fluminense, Robert Kenedy Nunes do Nascimento jana jioni alifanyiwa vipimo vya afya huko jijini London, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu bingwa...
View ArticleDewji Atangaza Kutogombea Tena Ubunge Singida Mjini
Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amewaliza baadhi ya wapigakura wake wakati akitangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa ya madai...
View ArticleBiashara ya NGONO Yashamiri Mkoani Dodoma………Makahaba Wazagaa Kila Kona
BIASHARA ya ngono imeshamiri mkoani Dodoma wakati huu ambao vikao vya kumpata mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimekwisha kuanza. Uchunguzi uliofanywa katika baadhi ya kumbi kama...
View ArticleChanel Ten, Star tv, TBC Zaadhibiwa na TCRA
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu ya faini kwa vituo vitatu vya televisheni nchini kwa kuonyesha vipindi vilivyokiuka kanuni za huduma ya utangazaji (maudhui ) ya mwaka2005....
View ArticleSouth Africa rapper AKA welcomes baby girl with girlfriend
South African rapper AKA today July 8th welcomed a baby girl with his girlfriend DJ Zinhle , who is one of South Africa’s biggest female DJs. The girl has been named Kairo Owethu Forbes. Congrats to...
View ArticleHatma Ya Casillas Ipo Mikononi Mwa Wareno
Hatimae uongozi wa klabu ya Real Madrid umekubali kumuuza mlinda mlango Iker Casillas kwenye klabu ya FC Porto na wakati wowote kuanzia hii leo unatarajia kuthibitisha kukamilishwa kwa dili hilo. Kwa...
View ArticleDjokovic Aendeleza Ubabe Wimbledon Championships
Mcheza Tennis kutoka nchini Serbia, Novak Djokovic amesonga mbele katika michuano ya Wimbledon Championships (Wimbledon Open) baada ya kumgaragaza mpinzani wake kutoka nchini Serbia, Marin Cilic....
View ArticleHans Poppe azuiwa kumfuata straika Brazil
WAKATI Simba ikiwa kwenye mchakato wa kupata mshambuliaji kutoka Brazil, mchakato huo umepata kikwazo baada ya mwakilishi wa klabu hiyo aliyetakiwa kwenda Brazil kusitisha zoezi hilo. Mwenyekiti wa...
View Article