Kizungumkuti CCM, JK awataka wagombea wasinune
Dodoma/Dar. Rais Jakaya Kikwete amesema idadi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania urais ni kubwa, hivyo ni lazima wawape viongozi muda wa kuwachuja lakini akawataka wasiwanunie baada ya kufanya...
View ArticlePinda atangaza wilaya sita mpya, mkoa mmoja
Dodoma. Rais Jakaya Kikwete anamaliza utawala wake kwa kuongeza maeneo mapya ya utawala, baada ya kuridhia kuanzishwa kwa wilaya mpya sita na mkoa mmoja wa Songwe utakaofanya nchi kuwa na mikoa 31....
View ArticleNewcastle Utd Kushusha Majembe Matano Kwa Wakati Mmoja
Meneja mpya wa klabu ya Newcastle Utd, Steve McClaren ametangaza mipango ya kufanya vyema msimu ujao wa ligi kwa kusema anahitaji kukiongezea nguvu kikosi chake. McClaren amesema anahitaji kufanya...
View ArticleGerrard: Sterling Usijivunjie Heshima
Aliyekua kiungo na nahodha wa klabu ya Liverpool, Steven George Gerrard ameonyesha kuchukizwa na tabia zinazoonyeshwa na mshambuliaji wa klabu hiyo, Raheem Sterling ambaye anadaiwa kuwa katika...
View ArticleHatimaye 5 Bora ya CCM Imejulikana….Lowassa Kaenguliwa Mweeeee…………………
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMagufuli Alivyopiga chenga Panga la CCM
Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano...
View ArticleWaasi wa Burundi Wapanga Kumpindua Rais Nkurunziza
Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo...
View ArticlePolisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji……..Wafuasi wa...
FOLLOW INSTAGRAM@lekule86 [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View Article"Wanamuziki wa Kike wa Hip Hop tunabaniwa"– Chiku
Chiku K amesema kuwa “madem” wanaofanya muziki wa Hip Hop kila wanapotoa ngoma hawapewi saporti ya kutosha hivyo kuwafanya krudi nyuma. Pia Chiku K amesema kwa kuwa kwa sasa muziki wa kuimba ndiyo...
View ArticleBreaking News: Tatu Bora ya CCM Hii Hapa…..Membe Kaenguliwa
Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni… 1) Magufuli . ………kura 290 2) Amina ……………kura 284 3) Migiro ……………kura 280 ————————————–...
View ArticleUkawa ngoma nzito, waahirisha kumtaja mgombea urais
Dar es Salaam . Mvutano mkali ulioibuka jana katika kikao cha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,...
View ArticleDelta/Wye Transforms: Behind the Scenes
Motivation When we started learning electronics, resistors were either in series or they were in parallel and we learned how to replace such combinations with their equivalent resistances, often with...
View ArticleElectromagnetic Induction: Conductor to Conductor & Transformers
Mutual Inductance Using a shared magnetic field, one coil transfers power to another. Have you ever seen a power transformer on a utility pole? Or how about an AC adapter? Maybe you’ve used a...
View ArticleUnderstanding better voltage regulation and power factor justification
Voltage regulation in commercial establishments Voltage regulation and power factor justification are very much interdependent, especially in commercial establishments. In most cases, it can be a very...
View ArticleMtoto aliyekosha ulimwengu kwa ari yake
Mtoto aliyepigwa picha akidurusu usiku nje ya mkahawa wa McDonald huko Ufilipino amevutia hisia kali ulimwenguni kote kwa ari yake ya kupata elimu. Mwanafunzi wa Uuguzi bi Joyce Torrefranca, ndiye...
View ArticleJK amfananisha Magufuli na ‘tingatinga’
Dar/Dodoma. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Pombe Magufuli ameelezewa na watu mbalimbali kuwa ni mchapakazi, makini, asiyependa uvivu, lakini Rais Jakaya Kikwete amehitimisha yote kwa...
View ArticleEmmanuel Mbasha Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili. Katika shtaka hilo Mbasha...
View ArticleMwenyekiti ACT-Wazalendo Azomewa Ukerewe
KATIBU wa Chama cha ACT- Wazalendo Mkoa wa Mwanza, Robart Gwanchele, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumzomea wakati akihutubia mkutano wa hadhara mjini Nansio....
View ArticleNEC Yatangaza Mjimbo Mapya 26 ya Uchaguzi
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo,...
View ArticleTaarifa Potofu za Lowassa Kwenda CHADEMA
Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji ‘attention’ ya...
View Article