Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

"Wanamuziki wa Kike wa Hip Hop tunabaniwa"– Chiku

$
0
0

Chiku K amesema kuwa “madem” wanaofanya muziki wa Hip Hop kila wanapotoa ngoma hawapewi saporti ya kutosha hivyo kuwafanya krudi nyuma. Pia Chiku K amesema kwa kuwa kwa sasa muziki wa kuimba ndiyo unaopewa sapoti ya kutosha sasa atakuja na style ya kuimba na kurap ili aweze kufanikiwa lakini endapo akishidikana basi ataaamua kuimba moja kwa moja. FOLLOW INSTAGRAM@lekule86

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles