Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all 1695 articles
Browse latest View live

Obama: "sababu za shambulizi bado hazijajulikana"

$
0
0

Na RFI Rais wa Marekani Barack Obama amesema Alhamisi hii kuwa sababu za wahusika wa shambulizi lililogharimu maisha ya watu wengi katika kaunti ya San Bernardino (California) Jumatano usiku wiki hii zilikua bado hazijajulikana, akisema kwamba kuna uwezekano kuwa shambulizi hio lilikua la kigaidi. “Katika hatua hii hatujajua ni kwa nini tukio hili la kutisha liilitokea”, Obama amesema kutoka Ikulu ya White House ambapo lilikuwepo baraza la kitaifa la usalama. “Tunajua kwamba watu wawili ambao waliuawa walikuwa walijihami kwa silaha na inaonekana kuwa walikua na silaha nyingine katika nyumba zao”, Rais Obama ameonge.”Lakini hatujui ni kwa nini walifanya hivyo, hatujui nia yao.” “Inawezekana kwamba shambulizi hili linahusiana na ugaidi, lakini hatujui. Inawezekana pia kwamba shambulizi hili linahusiana na mahali pa kazi”, aliendelea Rais Obama, akiongeza kuwa FBI ilikuwa imeanzisha uchunguzi. Shambulizi hili, ambalo liligharimu maisha ya watu wasiopungua 14, lilifanywa na watu wawili ambao walikua walijihami kwa silaha kubwa, ambao waliuawa na polisi muda mchache baadae.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Statement by Ambassador Ramadhan Mwinyi on Culture of Peace

$
0
0

The General Assembly met on  Thursday  to consider a report of the  Secretary – General on  the Culture of Peace. The  following  is  the   statement  delivered by  H.E Ambassador Ramadhan Mwinyi, Deputy Permanent Representative of Tanzania to the United Nations on   the  agenda item. ======  ======  ====== Mr. President, My delegation welcomes the opportunity to participate in today’s debate on a very important subject of peace – fostering a culture of peace. We see today’s meeting as an opportunity to reaffirm the purposes and principles of the Charter, which have been immaculately summed up in the resolutions set for adoption. Like many delegations in this august Chamber, we are deeply concerned about the growing wave of extremism, violence and conflicts that are engulfing many societies, including Africa’s, whose people – have for the past 400 years – endured the horrors of slavery, colonialism, apartheid, resource plunder, chronic poverty and protracted conflicts. Mr. President, In joining the United Nations Organization, our young independent nations firmly believed that our people and countries would never again – see conflicts and wars that have repeatedly brought untold sorrow to humankind. Yet, we continue to witness such horrors and their attendant ramifications, including the recent unprecedented migration and refugee crisis in Europe and other parts of the world. What is more shocking is the emergence of non-state actors, whose brutal transnational operations pose an imminent threat to our collective security. Terrorist groups such as ISIL, Boko Haram, Al Shabaab and others are everyone’s worst nightmare. Yet, we cannot simply wish them away. We need to act collectively and resolutely to suppress their criminal activities by blocking their means of survival, namely: weapons, funds, supporters and ideology. Mr. President, It is worth recalling that military measures are not – by themselves – an antidote of terrorism. Far from it! As the Secretary-General has once reminded us: “missiles may kill terrorists, but good governance kill terrorism.” Military measures can only lead to further radicalization and spread of violent extremism, dispersal of the problem, and an upsurge of terror sympathizers. In addition to good governance, at all levels, we need to promote inclusive economic development, eliminate all forms of discrimination, eradicate poverty in all its forms, end illiteracy, and reduce inequalities within and among nations. We also need to strengthen local, national, regional and international institutions, improve global governance, and silence the guns.  We would like to underscore the importance of international cooperation in addressing violent extremism, especially by tackling the root causes. We welcome several interventions to this end, including those spearheaded by the United Nations entities at regional and national levels. We wish to underscore however that these interventions must take into account national and regional contexts and priorities. Whereas some countries may require assistance to build or rebuild national institutions others may wish to focus their attention on socio-economic ways of addressing the underlying causes of violent extremism.    For instance, Tanzania attaches great importance on youth empowerment as a means of addressing violent extremism. Consequently, we recognize and appreciate the important role of education in nurturing the competencies of tomorrow’s global citizens, including their aptitude to understand others, empathize, think critically and exchange ideas peacefully. When we empower the youth with the relevant knowledge and skills on mutual respect and tolerance as well as the responsible use of Internet and social media; we literally open up a window of opportunities for employment and decent work, constructive engagement and self-affirmation.  By the same token, this investment can prevent their involvement in nefarious activities. It can also limit the likelihood of their succumbing to terror networks, which increasingly use the Internet and social media to foment extremism and radicalism, especially among young people. Likewise, we are fully aware of the important role of faith-based organizations and religious leaders who exhibit tremendous influence in our communities. It is important therefore, to engage them in our efforts for fostering a culture of peace, mutual respect and tolerance. Tanzania has witnessed first-hand the effectiveness of interfaith dialogue in addressing a myriad of challenges facing our communities, including violence and violent extremism. Among the lessons learned is that associating any religion with terrorism can undermine trust, mutual respect and cooperation, which are necessary precepts for defeating extremism and radicalism.  In addition, we must take full advantage of all social, cultural and diplomatic tools at our disposal for building tolerant and responsible societies. We believe that tourism can be an important vehicle for cultural dialogue and mutual understanding among the peoples of the world. Tanzania welcomes cultural tourists from all corners of the world to visit our country and intermingle with our people, enjoying their food, music, sports, legends and rich traditions. We have also opened our doors for cultural diplomacy, whereby many countries have established cultural centers in the country. We are ready to learn from other cultures without necessarily abandoning our own! Mr. President, I could not conclude my statement without expressing our utter dismay on the escalation of the deliberate destruction of cultural heritage as part of a cultural cleansing strategy. We note that such acts may constitute a war crime. We thus call for the perpetrators to be held accountable. We also call for the return of stolen artefacts to their countries of origin and restoration or rehabilitation of damaged heritage cites. UNESCO’s work in this regard is indeed commendable. Finally, we wish to reaffirm Tanzania’s readiness to work with other Members of this Organization, the United Nations System and other stakeholders in formulating, implementing and strengthening measures aimed at fostering a culture of peace at all levels. We keenly await in this regard, the finalization of the Secretary-General’s Plan of Action for Preventing Violent Extremism. As Mwalimu Nyerere, the founder of the independent Tanzania once remarked: “Violence is unnecessary and costly. Peace is the only way”. Let us invest in peace. I thank you for your kind attention.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Ancient Electrical Myths and Facts – open to debate

$
0
0

Introduction What is the purpose of this article? It’s pretty simple, actually. In this article, I wish to reinforce the fact that the ancient civilizations were far more technically developed than what most people think. And, most important of them all, I want to discuss about the existence of electricity in the ancient times. Though the debate between the ‘so called experts’ in finding whether ancient electricity is a myth or fact continues, let us have a look at the following evidences that show the traces of existence of ancient electricity : Ancient Static Electricity Discovery There is enough evidence that in ancient times, people knew of static electricity, though they did not know how exactly it worked. It is understood that they observed the lightening during thunderous storms, and tried to recreate the same in smaller size with use of cat fur and amber. It is said that a philosopher from Greece (known as Thales of Miletus), was the first to produce static electricity by rubbing cat fur against amber (known as Elektron in Greek). Using this principle a machine was constructed that equips two discs, one covered with leopard fur and other with amber to produce visible sparks. This picture depicts that by spinning the disks in opposite directions, a static electrical charge could be transferred to the gold foil strips to create visible sparks. Ancient Shock Therapy For Migraines Knife fish, also known as Electrophorous Electicus, which is capable of producing a 600V electric shock, is said to be first discovered by the ancient Egyptians. They captured and bred these fishes as they believed that they can be used to get rid of certain ailments. It is also said that, it was the Greeks and Romans who first discovered (c.47AD), that unrelenting headaches can be treated with an electric shock generated by the knife fish. Later on, in the year 2009, Boston doctors successfully treated migraines with shock therapy. Though there are certain traces of evidence, the debate still continues. Ancient Electric Battery The pot like batteries you are seeing in this picture were discovered in the year 1938, in Baghdad, and are believed to be built in between 224 AD – 640 AD. These pots contained a copper cylinder which was open ended with an iron rod embedded in the centre. Each pot was approximately 13 X 3.3 cm and was much similar to the galvanic batteries that were later discovered. And, according to a scientific paper produced by Konig in the year 1940, these pot batteries were used to generate electricity in the range 0.75 to1.1 V. Ancient Spark Plug In the year 1931, three rock collectors discovered an interesting piece of rock in the mountains of Olancha, California. One of the geode collectors, Mike Mikesell took it home with him and cut it in two halves only to find some interesting acts. There was a ceramic cell located within the specimen with a small metal core embedded in the centre, just like a small spark plug. According to professional geologists, the specimen was 500,000 years old and was probably used to perform functions similar to that of a spark plug. However, few experts say that the specimen is no more than a rock, which for years, has been concentrated and clustered with local fossils. Debate still continues. Conclusion Though most non-believers continue to dismiss the above evidences that support the existence of ancient electricity, “as a complete misinterpretation of evidence”, I personally believe that there is certainly some extent of reality attached to these evidences.  

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Miniaturization of electrical machines

$
0
0

Introduction Being a 21st century homo sapiens, we may deny the significance of oxygen while suffocating but we can never deny the utility of science in life. The word has penetrated deep into our blood. No matter what we are suffering the resolution is “Science”. Whatever is the issue, if you can’t make proper round chapatti ask science to do it for you through bread maker, or if you don’t want your hands to be abrasive while evacuating the oil spots from used dishes turn to science and get yourself relished with the dishwasher. Science can’t be restricted to mere kitchen but to every part of our daily life. You are concerned about your growing tummy but still you feel lethargic enough to visit any park, get yourself acquainted with a scientific creature named “treadmill” or when one morning you’re given 7 minutes to reach your office against your suspension, seek help from Lamborghini Aventador whose 690 Nm (507 lbft) @ 5,500 RPM Displacement can only be your savior there. Growing trend of Miniaturization of electrical machines Though we left our footprints on moon but soon we found this world to be very much restricted for our ideas. Though we got ourselves at the apex of the scientific world but soon we realized that in our homes our qualms haven’t left any room for science to fit in. Problem aroused when we couldn’t leave either of them, neither our home nor science. Our pocket too left us in that critical moment so we couldn’t shift to some bigger house. We found ourselves helpless. But soon the solution of our problem was presented by the term “Miniature”. Though dictionary presented the word as “reduced in size” but we evolved its meaning as “reduced in size but far much increased in Aptitude” and when that word was emerged with science it got its proper place in our homes, moreover, miraculously it repelled our tensions away. Home circuitry and electrical systems Where we get that large plasma TV replaced from hair slim LED’s and slim to slimmest cell phone with high scientific thickness, large stove were transformed into mini microwave ovens. Ejecting stains from clothes were not less than catastrophe but thanks to washing Machines. Soon that Miniature became the sole brick of our relaxed life. The most significant part of our homes, we were suffering from high utility bills we applied the term “Miniature” there and with remarkable helping hand of this we were finally relieved from high bills. Automatic circuits with sensory traits used to turn in case of exploitation of electric or sewerage misuse. When we installed high tensions electric wires in our houses we got ourselves burdened up with the danger of setting whole house on fire but Miniature again helped us and Mini circuits’ breakers banished our fears. Mosquito banishing devices, when our souls were crippled by the fear of Dengue further reduced our fears by installing Fire alarms, intercoms instead of shouting to the full capacity of our lungs. Our business expanded like fire eating the newspaper away through LAN. We got ourselves connected to one another through telecom networks and with a single click of our laptops we were able to transform fates. We were somehow managed to control our lives through the miniature medical devices like sugar level indicators, blood pressure indicators and weighing machine. We managed to control our health and with no objection that credit too goes to the miniature of scientific devices and through this very miniature we became very much dependent on our own selves rather than to be burden on someone else.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Wafanyakazi Tanesco na Wachina Wawili Wafikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ufisadi

$
0
0

Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za  kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja. Watuhumiwa kutoka  Tanesco Isaack Tibita na Olver Mushumbusi kwa nyakati tofauti walikuwa mameneja Wilayani Karagwe wanadaiwa kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Chico kufanya udanganyifu na kujipatia fedha hizo. Raia wa China katika kesi hiyo ni Wang Lei na Zhang Shuaitong ambao kwa pamoja wanadaiwa kutenda makosa 16 wakati wa kuhamisha miundombinu ya umeme zikiwemo nguzo ili kupisha ujenzi wa barabara ya lami ya Kyaka,Bugene. Katika kesi hiyo namba 65 ya mwaka 2015 Wakili Mfawidhi kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hashimu Ngole alisema watuhumiwa kati ya mwaka 2011 na 2014 kwa nyakati tofauti walitenda makosa hayo na kusababisha hasara ya kiasi hicho cha fedha. Miongoni mwa makosa waliyosomewa washitakiwa ni kughushi nyaraka zikiwemo hundi za malipo zinazonyesha kuwa kampuni ya Chico imelipwa fedha kupitia mradi wa ujenzi wa barabara ya lami ya Kyaka Bugene. Mtuhumiwa wa tatu ambaye ni raia wa China Wang Lei  alikuwa meneja wa mradi huo na alisomewa mashitaka mawili peke yake huku mtuhumiwa wa nne Zhang Shuaitong akifanya tafsili kutokana na raia mwenzake kufahamu lugha ya Kichina pekee. Pia wafanyakazi hao wa Tanesco miongoni mwa mashitaka mengine yanayowakabili ni kughushi nyaraka zilizoonyesha kuwa shirika hilo lilikuwa linadai kulipwa na kampuni ya Chico na kuwa kwa nyakati tofauti walipokea fedha kutokana na nyadhifa zao. Watuhumiwa wote walikosa dhamana baada ya hakimu Charles Uiso kusema kuwa hakimu anayehusika na kesi hiyo alikuwa na majukumu mengine na itatajwa tena Desemba 7,na kupewa masharti ya dhamana.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete atunukiwa Heshima ya Companion Award na Commonwealth Partnership for Technological Management (CPTM)

$
0
0

Taasisi ya Commonwealth Partnership for Technological Management (CPTM) inayojishughulisha na kukuza ushirikiano katika nyanja ya sayansi na teknolojia kwa nchi za Jumuiya ya Madola, imemtunuku Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, heshima ya Juu ya CPTM (Companion Award) kwa kutambua mchango wake katika kuhamasisha ukuaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia ikiwemo matumizi ya huduma za fedha kwa njia ya simu.   Rais Mstaafu Kikwete, alikabidhiwa Tuzo hiyo tarehe 1 Desemba, 2015.    Taasisi hiyo yenye makao makuu yake London ndio inayoendesha Midahalo ya Kimataifa maarufu kama Smart Partnership Dialogue.    Mkutano wa mwisho wa aina hiyo ulifanyika Dar es Salaam mwaka 2013 ukiwa Na kali mbiu ya “Kutumia Teknolojia Kuchochea Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Barani Afrika”.    Rais  Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Cheti cha Kumtunuku Yeshima ya Juu ya CPTM (Companion Award). Aliyesimama kushoto kwa Rais Mstaafu ni Dkt. Tan Sri Omar, Mwenyekiti wa Bose ya Wakurugenzi wa CPTM na pembeni yake ni Dkt. Mihaela Smith, CEO wa CPTM. Tuzo hiyo imetolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPTM ambao uliambatana na maadhimisho ya Miaka 20 ya Taasisi hiyo jijini London   Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani baada ya kutunukiwa tuzo ya  heshima ya Juu ya CPTM (Companion Award) wakati wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPTM ambao uliambatana na maadhimisho ya Miaka 20 ya Taasisi hiyo jijini London.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Prof. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar

$
0
0

Bi Ritha Mushi (VSO Volunteer) akiongea na Vijana wenzake juu ya umuhimu wa kujitolea katika kongamano la siku ya kujitolea duniani lililofanyika jijini Dar es Salaam leo. Bw. Ian Tarimo anaejitolea katika Shirika lisilo la Kiserikali la Youth For Change akiongea na Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Dr Ven kutoka DFID akiwaasa vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kijana akipata maelezo juu ya utendaji kazi wa shirika lisilo la Kiserikali la JICA wakati wa kongamano la siku ya kujitolea lililofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni Prof. Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia akiongea na wanahabari katika maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo,wa kwanza kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Volountary Overseas (VSO) Dkt. Philip Goodwin. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel aliyevaa suti akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. 

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Burundi: wapiganaji 3 wauawa katika shambulizi dhidi ya afisa wa polisi

$
0
0

Na RFI Washambuliaji watatu wameuawa na wengine wawili wamekamatwa leo Ijumaa mjini Bujumbura baada ya kuendesha shambulizi dhidi ya gari la afisa mwandamizi wa polisi, ambaye hakuwa katika gari hilo, chanzo cha polisi kimebaini. Washambuliaji watano wakivalia sare ya polisi wa usalama wa taasisi za uongozi wa nchi (API), wameshambulia kwa roketi na risasi nyingi gari la jenerali Christophe Ndayishimiye, mkuu wa vitengo maalumu vya polisi katika barabara kuu inayogawa wilaya za Bwiza na Buyenzi (boulevard du Peuple Murundi) mjini Bujumbura, afisa wa polisi wa cheo cha juu ambaye hakutaka jina lake litajwe ameliambia shirika la habari la Ufaransa la AFP. “Vikosi vya usalama viliingilia kati mara moja (…) wapiganaji watatu wameuawa, wawili wako mikononi mwa polisi na silaha kadhaa zimekamatwa”, kimesema chanzo hicho na kuongeza kuwa jenerali Ndayishimiye hakuwa katika gari lililolengwa na hakuna aliyejeruhiwa miongoni mwa askari polisi waliokua katika gari hilo. Kwa mujibu wa afisa wa Idara ya Ujasusi (SNR), washambuliaji walikuwa ni “raia wa kawaida ambao walijifananisha na askari polisi wa API, wala hawakua askari polisi wa kiengo hicho”. Jenerali Ndayishimiye, ambaye anajulikana kwa jina la utani “Wakenya” (ikimaanisha”mtu mlemavu”), ni mpiganaji wa zamani kutoka kundi la zamani la waasi la CNDD-FDD katika vita viliyodumu zaidi ya mwongo mmoja (1993-2006). Jenerali “Wakenya” ni mmoja wa watu muhimu waliohusika katika ukandamizaji wa watu walioandamana kwa muda wa wiki sita dhidi ya awamu ya tatu ya Rais Nkurunziza, mwishoni mwa mwezi Aprili, kisha machafuko yalizuka na kuongezeka tangu rais Pierre Nkurunziza alipochaguliwa katika uchaguzi uliosusiwa na upinzani na baadhi ya vigogo wa chama madarakani cha CNDD-FDD, ambao walilazimika kukimbilia nje ya nchi. Ni mtu wa tano muhimu katika utawala ulio madarakani – na afisa mwandamizi wanne katika vikosi vya ulizi na usalama kulengwa na mashambulizi ya kuvizia tangu uchaguzi huo. Mtu muhimu na mmoja kati ya vigogo wa vikosi vya usalama, jenerali Adolphe Nshimirimana, aliuawa Agosti 2 mjini Bujumbura katika shambulizi la roketi, wakati ambapo mkuu wa majeshi, jenerali Prime Niyongabo, alinusurika kuuawa katika shambulizi lililoendeshwa mwezi Septemba, shambulizi ambalo liligharimu maisha ya walinzi wake 7. Mwishoni mwa mwezi Novemba, Kanali Serge Kabanyura, Kamanda wa kanda ya tano ya kijeshi, magharibi mwa Burundi, alijeruhiwa katika shambulizi lililoendeshwa kilomita ishirini Kusini Mashariki mwa mji wa Bujumbura, siku moja baada ya kulengwa kwa risasi mjini Bujumbura, Zéno Ndaruvukanye, mjumbe wa bodi ya uongozi ya chama tawala cha CNDD-FDD. Mapigano kati ya vikosi vya usalama na wapiganaji yamekua yakishuhudiwa karibu kila siku mjini Bujumbura.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


China yatoa dola bilioni 60 kwa maendeleo Afrika

$
0
0

Rais wa China Xi Jinping amewaambia viongozi wa Afrika, nchi yake itatoa dola bilioni 60 kufadhili miradi ya maendeleo barani Afrika. Xi ameyasema hayo katika mkutano wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika. Xi, anayeuongoza mkutano huo ameorodhesha mpango wa maendeleo wa maendeleo wenye vipengee kumi wa taifa lake barani Afrika akisema anataka kujenga uhusiano wa haki na washirika walio sawa. “Katika kuhakikisha utekelezwaji wa hatua hizi 10 za ushirikiano, China imeamua kutoa dola bilioni 60 ya kuendeleza miradi hiyo,” alisema Xi katika mkutano huo unaofanyika mjini Johannesburn Afrika Kusini. Hatua hizi zinanuiwa kuangazia mambo matatu yanayoaminika kuirejesha Afrika nyuma kimaendeleo, ambayo ni masuala ya, miundo mbinu, ukosefu wa wataalamu walio na ujuzi mbali mbali na ukosefu wa fedha za kuendeleza miradi hiyo. Xi Jinping ameongeza kwamba fedha zitakazotolewa zitajumuisha dola bilioni tano ya mikopo isiyokuwa na riba na dola bilioni 35 ya mikopo ilio na mashrti nafuu itakayotolewa kwa Afrika. Katika hotuba yake ya ufunguzi kwenye mkutano huo, Xi pia alitangaza msaada wa kupambana na ukame barani Afrika. “China ina wasiwasi mkubwa juu ya mavuno duni yaliosababishwa na mvua ya El Nino katika mataifa mengi ya Afrika na itatoa dola milioni 156 ya kushughulikia msaada wa vyakula vya dharura katika maeneo yatakayoathirika,” alisema Xi Jinping. China kuwekeza zaidi barani Afrika Kando na uchumi wa china kupungua au kukuwa kwa kasi ndogo, na kusababisha Beijing kukatiza uwekezaji wake Afrika kwa zaidi ya asilimia 40 katika miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu wa 2015, Xi amesema china itaimarisha hatua za uwekezaji katika viwanda vinavyotengeneza chakula kwaajili ya soko la nje, pamoja na kujenga barabara, bandari na reli, katika bara la Afrika linaloonekana kuwa na soko kubwa kutoka China. Rais huyo wa China amesema nchi yake pia itaimarisha ushirikiano wake barani Afrika katika vita vyake dhidi ya makundi yalio na itikadi kali na imesema haitoingilia michakato ya kiasiasa ya serikali za bara hilo. Afrika kwa ujumla inaiona China kama mpambanaji mzuri kuliko ushawishi wa Magharibi, japokuwa mataifa hayo ya Magharibi yanaishutumu China kwa kufumbia macho migogoro na ukiukwaji wa haki za binaadamu unaofanyika barani Afrika wakati wanapojiingiza barani humo kibiashara. Mkutano huo wa siku mbili wa ushirikiano kati ya China na Afrika ni wa pili kufanyika ambapo China inawakusanya pamoja viongozi wa Afrika tangu kuzinduliwa kwake mjini Beijing mwaka wa 2000. Tangu wakati huo biashara ya China Barani Afrika imeipiku ile ya washirika wake wa Ulaya na Marekani Mwandishi: Amina Abubakar/ Reuters, AFP, Mhariri: Josephat Charo Chanzo:DW

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Katazo la kuongeza ada kwa shule zisizo za serikali

NEW VIDEO:K.O – Ding Dong

Undani Kigogo Wa Bandari Kufa kwa Presha!

$
0
0

WAKATI Rais John Magufuli akiwa kwenye zoezi la kutumbua majipu kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), mshtuko mkubwa umetokea kufuatia kigogo mwenye wadhifa wa Artsan One (TPA) jijini Dar, Elia Eliampenda Kimaro (51) kufariki dunia ghafla kwa shinikizo la damu (presha) akiwa nyumbani kwake, Mikwambe, Kigamboni, Dar. Kimaro alifariki dunia Novemba 30, mwaka huu kwa uthibitisho wa daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako marehemu alikimbizwa kwa ajili ya matibabu. Kifo cha Kimaro kimetokea wakati kukiwa na sintofahamu kubwa miongoni mwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo kuhusiana na utolewaji wa makontena 349 kinyemela na kuisababishia serikali kukosa mapato ya kiasi cha shilingi bilioni 80. Taarifa kutoka ndani ya familia, marehemu alisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu. Lakini ghafla alfajiri ya Novemba 30, hali yake ilibadilika na hivyo kukimbizwa Muhimbili ambako daktari alisema alishafariki dunia. Mwandishi aliweza kufika msibani ambapo aliwashuhudia wafanyakazi wengi wa bandarini na TRA bandarini wakiwa hapo kwa ajili ya maandalizi ya mazishi. Baadhi ya wafanyakazi hao, walisikika wakidai, marehemu alikuwa miongoni mwa vigogo waliokuwa wakichunguzwa kwa utolewaji wa makontena 349 siku chache zilizopita. “Pia nasikia baada ya waziri mkuu (Kassim Majaliwa) kutoa mwongozo siku zile bandarini, watu wa usalama wa taifa walishamfuata hapa kwake mara kadhaa na kumhoji. “Lakini pia, kuna madai kwamba, miamala yake ya kibenki nayo ilifuatiliwa na jamaa hao ambapo walikuta pesa nyingi,”  alisikika akisema mmoja wa wafanyakazi hao ambaye alipogundua kunawaandishi wa habar alifunga kinywa. Nao baadhi ya waendesha bodaboda wa eneo hilo, walionekana kushangazwa sana kufuatia taarifa za kifo cha kigogo huyo, wakidai siku moja kabla, walionana naye akiwa mzima wa afya. Hata hivyo, walisema mara baada ya taarifa za kifo, walishangaa kuona magari yake ya kifahari yakiondolewa kutoka nyumbani kwake hapo: “Labda waliyapeleka mahali ili kupata nafasi ya kuweka maturubai ya msiba. Si unajua majumba haya ya ghorofa, yana nafasi zaidi ya kwenda juu kuliko upana,”  alisema mmoja wa bodaboda hao. Mwendesha bodaboda mmoja alisema:  “Mzee wa bandari alikuwa mtu poa sana. Hata madereva wa daladala zake wameumia. Unajua jamaa alikuwa na mkwanja wa maana. Hii nyumba ya hapa ‘cha mtoto’, ana nyumba nyingine Yombo (Dar), magari ndiyo usiseme. Yaani tumempoteza mtu muhimu sana.” Marehemu Kimaro alizikwa Desemba 2, mwaka huu kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Ameacha mke na watoto wanne.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Belt Conveyor Layout | Horizontal Belt Conveyor | Inclined Belt Conveyor | Declined Belt Conveyor

$
0
0

Conveyor layouts: Belt conveyors can be designed for practically any desired path of travel. It should be noted that transfer between conveyors should be avoided where possible due to additional wear on the belts at the loading points. Some of the profiles shown below: Horizontal Conveyor Decline Conveyor Inclined Conveyor Overland Conveyor

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Design of Screw Conveyor | Size of Screw Conveyor | Screw Conveyor Capacity Calculation | Screw Conveyor Design Calculation

$
0
0

Design of Screw Conveyor: The size of screw conveyor depends on two factors 1. The capacity of the conveyor 2. The lump size of the material to be conveyed (Maximum dimensions of the particle) Usually there are three ranges of lump sizes which are considered for selection of screw size. These are: · A mixture of lumps and fines in which not more than 10% are lumps ranging from maximum size to one half of the maximum, and 90% are lumps smaller than one half of the maximum size. · A mixture of lump and fines in which not more than 25% are lumps ranging from the maximum size to one half of the maximum, and 75% are lumps smaller than one half of the maximum size. · A mixture of lump only in which 95% or more are lumps ranging from maximum size to one half of the maximum size and 5% or less are lumps less than one tenth of the maximum size. The allowable size of a lump in a screw conveyor is a function of the radial clearance between the outside diameter of the central pipe and the radius of the inside of the screw trough, as well as the proportion of the lumps in the mixture. The lump size of the material affects the selection of screw diameter which should be at least 12 times larger than the lump size of a sized material and four times larger than the largest lumps of an un-sized material. Example, if screw diameter is 250mm means radial clearance is 105mm, & Maximum lump size is 60mm of 10% lumps. Capacity of Screw Conveyor: The capacity of a screw conveyor depends on the screw diameter, screw pitch, speed of the screw and the loading efficiency of the cross sectional area of the screw. The capacity of a screw conveyor with a continuous screw: Q = V. ρ Q = 60. (π/4).D 2 .S.n.ψ.ρ.C Where, Q = capacity of a screw conveyor V = Volumetric capacity in m 3 /Hr ρ = Bulk density of the material, kg/m 3 D = Nominal diameter of Screw in m S = Screw pitch in m N = RPM of screw Ψ = Loading efficiency of the screw C = Factor to take into account the inclination of the conveyor Screw Pitch: Commonly the screw pitch is taken equal to the diameter of the screw D. However it may range 0.75 – 1.0 times the diameter of the screw. Screw Diameter: Nominal Size D Trough height from center of screw shaft to upper edge of the trough Trough width C Thickness of Tough Tubular shaft (d1 * Thickness) Outside diameter of solid shaft Coupling diameter of shaft Heavy Duty Medium Duty Light Duty 100 63 120 – 2 1.6 33.7*2.5 30 25 125 75 145 – 2 1.6 33.7*2.5 30 25 160 90 180 5 3.15 1.6 42.4*2.5 35 40 200 112 220 5 3.15 2 48.3*3.5 40 40 250 140 270 5 3.15 2 60.3*4 50 50 315 180 335 5 3.15 – 76.1*5 60 50 400 224 420 5 3.15 – 76.1*5 60 75 500 280 530 5 3.15 – 88.9*5 70 75 RPM of Screw: The usual range of RPM of screw is 10 to 165. It depends on the diameter of screw and the type of material (Max RPM of screw conveyor is 165) Loading efficiency: The value of loading efficiency should be taken large for materials which are free flowing and non abrasive, while for materials which are not free flowing and or abrasive in nature, the value should be taken low: Ψ = 0.12 to 0.15 for abrasive material = 0.25 to 0.3 for mildly abrasive material = 0.4 to 0.45 for non abrasive free flowing materials Inclination Factor: The inclination factor C is determined by the angle of screw conveyor with the horizontal.   Angle of screw with the horizontal 0° 5° 10° 15° 20° Value of factor C 1 0.9 0.8 0.7 0.65

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam Awaagiza Wakurugenzi Kuwaondoa Ombaomba Waliko Barabara za Jiji

$
0
0

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri za jiji la Dar es Salaam, kuwaondoa ombaomba wote walioko katika barabara za jiji, kwani wanachangia uchafu.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini jana, Sadiki alisema utekelezaji wa kauli ya Rais John Magufuli ya kutumia siku ya Desemba 9 mwaka huu kufanya usafi, utakwenda sambamba na kuwaondoa ombaomba hao, ambao wanachangia kuongeza uchafu.   “Siwezi kusema wao ni uchafu lakini mazingira yanayowazunguka katika maeneo wanayofanyia shughuli zao wanayachafua, wanajisaidia kwenye mifuko na kutupa ovyo,” alisema.   Alisema viongozi ambao wako katika maeneo ambayo ombaomba hao wanarudi, wahakikishe hawarudi mjini kwa sababu imekuwa ni tabia ya omba omba hao wanaporudishwa baada ya muda kurudi tena jijini.   Aidha, aliiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kushirikiana na Jeshi la Polisi kuwaondoa wapigadebe katika vituo vya daladala kwani wamekuwa kero kwa abiria.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Ukimya wa Lowassa,Sumaye na Mbowe Kuhusu MAJIPU Yanayotumbuliwa na Magufuli Wazua Maswali

$
0
0

Ukimya wa wanasiasa walioongoza harakati za kupambana na ufisadi katika majukwaa ya kisiasa, wakati huu Serikali ikichukua hatua za wazi na haraka kukabiliana na ubadhirifu wa mali za umma, umeibua maswali kuhusu uzalendo kwa nchi yao. Miongoni mwa wanasiasa waliohusishwa na maswali hayo ni pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu, Frederick Sumaye, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa. Akizungumzia sakata hilo jana, Mhadhiri Mwandamizi wa Masuala ya Siasa na Utawala wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Benson Bana, alisema kama kweli ni wazalendo, ni vyema wale wote waliokuwa wakipinga ufisadi wajitokeze hadharani, kupongeza hatua zinazoendelea kuchukuliwa. Profesa Bana alisema hali inavyoendelea nchini kwa sasa ni wazi kwamba Rais John Magufuli, anapaswa kuungwa mkono na wote waliokuwa wakipinga ufisadi na ubadhirifu serikalini.     “Ni wakati muafaka sasa wale wote waliokuwa wanapinga ufisadi wakiwemo wanasiasa, wajitokeze hadharani kumuunga mkono Rais wetu, kama kweli walisema hayo kwa uzalendo na uungwana,”  alisisitiza Profesa Bana. Alisema ni wakati sasa wa Sumaye, Lowasa, Mbowe na wengine waliokuwa mstari wa mbele kueleza umma ufisadi na ubadhirifu serikalini kwenye kampeni za kuwania urais mwaka 2015, wakajitokeza hadharani kupongeza kazi inayofanyika. Pia aliwataka wote waliosema hawataunga mkono serikali iliyoko madarakani, kufuta mara moja kauli yao, kwani yanayoendelea kufanywa ni mambo mazuri kwa ajili ya ustawi wa Watanzania wote bila kujali itikadi zao. Magufuli na Ilani ya Ukawa  “Yapo maneno kwamba Rais Magufuli anatekeleza ilani za vyama vingine na si ya CCM, haya maneno yapuuzwe ni kukosa hoja, ilani za vyama vyote vya siasa vinavyojitambua, zinajibu maswali haya ya wananchi,”  alisema Profesa Bana. Akifafanua hilo, Profesa Bana alisema kuna maneno yanaendelea kuzunguka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu au kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Dk Magufuli anatekeleza ilani za vyama vingine vya siasa na kusisitiza hoja hiyo haina mashiko. Alisema Dk Magufuli anatekeleza yale aliyoahidi kwenye kampeni alipokuwa akiwania nafasi hiyo, kwa kuwa yapo kwenye Ilani ya CCM, huku akisisitiza kuwa ilani za vyama vya siasa mwaka huu zilifanana kwa njia moja au nyingine. “Sisi tulipata bahati ya kusoma na kuchambua ilani za vyama vitatu CCM, Chadema na ACT-Wazalendo, tulipopitia ilani za vyama hivyo na vingine vilivyoshiriki kwenye uchaguzi uliopita, tulibaini zote zinafanana,” alisema Profesa Bana. Alisema kama kuna chama kinasema ilani inayotekelezwa ni yao, wangekuwa mstari wa kwanza kujitokeza hadharani kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kutekeleza hayo, lakini kukaa kimya kunazua maswali mengi.     Wajuta kutompa kura  Alisema ni vyema Rais apewe nafasi aendelee kutekeleza anayofanya kwa sababu anajibu maswali ya wananchi yaliyokuwa yakisubiriwa kwa muda mrefu na kwamba wapo baadhi ya wananchi wanajuta hivi leo kwa kutompigia kura. “Tunazungumza na watu mbalimbali wanatuambia wanajuta kumnyima kura Rais Magufuli, kwa sababu kama asingeshinda, nchi ingekosa kiongozi mzuri na mwenye kasi ya maendeleo kwa wote,”  alisema Dk Bana. Wapenda utajiri  Mhadhiri mwingine wa chuo hicho, Profesa Kitila Mkumbo alitoa mwito kwa Watanzania wote kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kubadilisha mitazamo yao ya kupenda vya bure, bali wafanye kazi kwa bidii.    Profesa Mkumbo alisema juhudi zinazofanywa na Rais Magufuli, zitakuwa na tija zaidi iwapo Watanzania wote watamuunga mkono kwa kubadilisha mitazamo yao ya kupenda utajiri wa haraka haraka. “Jitihada za Rais Magufuli pekee hazitoshi, bali jamii yote ya Tanzania lazima ibadilike, tuache kufanya vitu kwa mazoea na kupenda vya bure na utajiri wa haraka haraka, bali tupende kufanya kazi kwa bidii,” alisema Profesa Mkumbo. Alisema masuala ya ubadhirifu na ufisadi ni mambo sugu yanayosumbua nchi na hatua zilizoanzwa kuchukuliwa na Rais Magufuli ni nzuri kwani tofauti na serikali zilizopita, yeye anatekeleza kwa kasi zaidi. “Ubadhirifu ni tatizo sugu nchini, lilianza kufanyiwa kazi tangu enzi za Mwalimu Nyerere hadi Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ila kwa awamu hii ya Rais Magufuli, yeye anatekeleza kwa kasi zaidi,”  alisema Profesa Mkumbo.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Gazeti la Dagens Nyheter(Sweden); Magufuli atajwa Kuwachonganisha Marais Wenzake na Wapiga Kura Wao!

$
0
0

Dagens Nyheter ni gazeti kubwa kushinda yote nchini Sweden, ndio ‘Daily News’ lao kwa maana ya jina la gazeti. Katika toleo lake la Ijumaa Desemba 4, habari za John Magufuli zimepamba pia gazeti hilo. Amemwagiwa sifa, na ikaandikwa pia, kuwa Magufuli amewaweka katika wakati mgumu marais wenzake wa nchi jirani kwa vile wapiga kura wao wameonyesha wivu wao kwa Watanzania kupata Rais wa aina ya Magufuli. Hata hivyo, kwenye gazeti hilo, imeandikwa pia, kuwa hata kabla ya kuingia milango ya Ikulu, Magufuli tayari ameshajipatia maadui wakiwamo wa ndani ya chama chake kwa hatua zake anazozichukua, hususan za kubana matumizi ya Serikali.  Habari nzima  unaweza kuitazama kupitia Website ya Hilo gazeti kwa kubofya link hii hapa .Imeandikwa kwa lugha yao. link: http://www.dn.se/nyheter/varlden/president-skaffar-fiender-nar-han-later-kvasten-ga/ Tafsiri ya maelezo waliyoandika  kwa Kiingereza ni kama inavyosomeka hapa chini…… The newly elected President John Magufuli barely had time to move into Tanzania’s presidential palace before he got his first enemies – the members of his own party CCM, which snuvats at the annual independence celebration. The money will instead go to a cleaning campaign. The newly elected President John Magufuli barely had time to move into Tanzania’s presidential palace before he got his first enemies – the members of his own party CCM, which snuvats at the annual independence celebration. The money will instead go to a cleaning campaign. December 9 is the 54 years since the then Tanganyika gained independence from Britain, which is usually celebrated with pomp and circumstance in Tanzania’s economic hub of Dar es Salaam. On vipl?ktaren sitting members of the party, CCM, who has ruled the country since then. CCM’s long hold on power has contributed to Tanzania is one of the world’s poorest countries. Lately Tanzanians started playing with the idea that change is possible even in a system where the same party again and again win elections. This year there will be no celebration, the newly elected President John pombe Magufuli declared on state television. Instead, the money  should be used for a national cleaning campaign. This year’s Christmas card from the government has also been abolished in order to save money. The budget for a grand opening celebration for the new parliament in the capital Dodoma were cut from the equivalent of 1.2 million SEK to 100 000 SEK. The surplus was used to buy new beds to the run-down hospital Muhumbili in Dar es Salaam, whose director was fired in the rebound after Magufuli made an impromptu visit. Newspapers report on a delegation of 50 leaders who were off on a tour to the other countries of the British community. Magufuli shrank delegation to four people, which should have saved 2.4 million. Civil servants and politicians forbidden to travel abroad on state funds and conferences will be held in the meeting rooms rather than in expensive resorts. Magufuli, called the bulldozer  because of its persistent road construction in his previous role as Minister, is now living up to his nickname in the more figurative sense, and voters in neighboring countries look with envy on development. On social media spread nowadays continental success stories – that Muhammadu Buhari corruption fight in Nigeria, Malawi’s former president Joyce Banda who sold the government plane and 60 Mercedes limousines or Namibia EX-PRESIDENT Hifikepunye Pohamba, who was awarded this year’s Mo Ibrahim prize for good leadership. Tanzania, one in all the years have had a big brother attitude to become a model harbors its own leaders in a difficult position where they have to feel ashamed or explain himself.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Balozi Sefue: Maagizo Ya Rais Magufuli Hayavunji Sheria ya Ununuzi

$
0
0

Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema maagizo ya Rais  Magufuli kutaka fedha zilizokuwa zitumike kwa matumizi yasiyo ya lazima, kupelekwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini, hayavunji sheria ya manunuzi wala utaratibu mwingine wa kisheria. Hivi karibuni,Rais Magufuli aliagiza sh.milioni 225 zilizokuwa nimechangwa kwa ajili ya hafla ya wabunge zipelekwe Hospitali ya Muhimbili kununua Vitanda na Mashuka. Aligiza pia Bilioni 4 zilizokuwa zitumike katika sherehe za Uhuru Disemba 9 zitumike kupanua barabara ya Mwenge- Morocco Akitoa ufafanuzi wa barabara ya Mwenge-Morocco, Balozi Sefue  amesema mradi huo sio mpya na kwamba taratibu zote zilishafuatwa ikiwa ni pamoja na kuwalipa waliokuwa wamejenga  kando ya barabara. Amesema kilichokuwa kinakwamisha mradi huo ni  pesa. Akizungumzia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kuwanyima likizo wafanyakazi huku wengine  wakitiwa rumande kwa masaa  6, Balozi Sefue  amesema serikali haina taarifa rasmi hivyo akalitaka shirikisho la vyama vya wafanyakazi (Tucta) kuwasilisha malalamiko serikalini badala ya kuishia kulalamika katika vyombo vya habari

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Manchester City wapigwa na Stoke City bao 2-0

$
0
0

Mshambuliaji wa Stoke City Marko Arnautovic (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya saba kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Britannia Stadium. Arnautovic akifunga bao la pili dakika ya 15 kipindi cha kwanza. …Akishangilia Wachezaji wa Man City wakiwa hoi baada ya kufungwa bao la pili. Stoke City (4-2-3-1): Butland; Johnson, Shawcross, Wollscheid, Pieters; Cameron, Whelan; Shaqiri, Afellay, Arnautovic; Bojan Subs: Joselu, Wilson, Van Ginkel, Adam, Diouf, Walters, Haugaard Manchester City (4-2-3-1) : Hart; Sagna, Otamendi, Demichelis, Kolarov; Fernando, Fernandinho; De Bruyne, Silva, Sterling; Bony Subs: Caballero, Navas, Iheanacho, Delph, M Garcia, Clichy, Humphreys.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Rasimu ya Mpango wa Kuyalinda Mazingira Yapatikana Paris

$
0
0

Hatua kubwa imepigwa katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira unaoendelea mjini Paris, kutafuta makubaliano ya kudumu yatakayopunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi na kuyanusuru mazingira ya dunia. Kukithiri kwa kiwango cha gesi ya Kaboni kunalaumiwa kwa ongezeko kubwa la joto duniani Wataalamu kutoka nchi 195 wamewasilisha rasimu ya mpango makhususi wa makubaliano yanayonuia kuhakikisha usalama wa mazingira ya dunia kutokana na hewa chafu inayochochea mabadiliko ya tabia nchi. Licha ya kukabiliwa na mapendekezo yanayokinzana, rasimu ya mpango iliyowasilishwa mchana (05.12.2015) itaweka msingi muhimu zaidi kuwahi kujaribiwa kuelekea makubaliano ya dunia kuhusu udhibiti wa mabadiliko ya tabia nchi. Jumatatu ijayo, mawaziri kutoka kote duniani watawasili katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, kuifanya rasimu hiyo kuwa makubaliano yenye uzito wa kisheria, utakaoweka kikomo katika utoaji wa gesi ya kaboni, ambayo hulinasa joto la jua na kusababisha ongezeko la joto katika maeneo ya nchi kavu na baharini. Haiwezekani, hadi itakapokuwa imefanyika Akizungumza baada ya kupatikana kwa mpango huo, mwakilishi wa Afrika Kusini Nozipho Mxakato-Diseko amenukuu maneno ya marehemu Nelson Mandela, kwamba ”Mara zote kazi itaonekana kama haiwezi kufanyika, hadi pale itakapokuwa imefanyika”, kauli ambayo imeshangiliwa mkutanoni. Wataalamu wameonya kuwa ongezeko hilo la joto linaweza kusababisha majanga makubwa, yakiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari, vimbunga na ukame wa muda mrefu. Kusitisha kupanda huko kwa joto kutahitaji kusitisha matumizi ya nishati itokanayo na makaa ya mawe, bidhaa za petroli na gesi, na pia kuacha kuiangamiza misitu inayotunza gesi aina ya kaboni. Hayo ni mambo magumu na yenye gharama kubwa, ambayo makampuni ya biashara hayapendi kuyatekeleza. Watu maarufu duniani wapatao 50, wakiwemo nyota wa filamu na mabilionea walifika mjini Paris, kusaidia kushawishi kupatikana kwa makubaliano ya kudhibiti mabadiliko ya tabia nchi. Somo kutokana na mikutano iliyopita Wataalamu katika mkutano huo wana matumaini ya kuepuka hali iliyojitokeza katika mkutano mwingine wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira uliofanyika mjini Copenhagen mwaka 2009, ambayo yalinuia kupata makubaliano ifikapo mwaka 2012, ambayo hata hivyo yalifeli na kuvunjika. Miaka miwili baada ya kushindwa kwa mkutano huo wa Copenhagen, mwaka 2011, wataalamu wa kimataifa walikutana mjini Durban na kukubaliana kupata mpango mwingine wa kuyanusuru mazingira ya dunia. Kwa mujibu wa watalaamu mbali mbali, makubaliano yatakayotokana na mkutano wa Paris yatakuwa na mapungufu ya vigezo vinavyohitajika, kuweza kuzuia ongezeko la joto duniani kwa zaidi ya nyuzi 2, juu ya kiwango kilichokuwepo kabla ya mapinduzi ya viwanda. Bado kuna tofauti kubwa kuhusu masuala muhimu, kama vile kiwango cha upunguzaji wa hewa chafu inayochafua mazingira, upande utakaojitwisha juhumu kubwa ya mchakato huo na muhimu zaidi, nani ataugharimia mchakato huo. Mwandishi: Daniel Gakuba/afpe/ape Mhariri: Caro Robi Chanzo:DW

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

Viewing all 1695 articles
Browse latest View live