Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete Asema CCM Ilisikitishwa Sana na Uamuzi wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza rasmi kuachia kiti hicho kabla ya mwezi Februari mwakani, huku akisema CCM imesikitishwa na uamuzi wa ZEC kufuta uchaguzi wa...
View ArticleMakampuni ya Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kufadhili Michuano ya Kimataifa ya...
Makamu Mwenyekiti wa Balraza la Michezo Zanzibar BMZ akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi fedha kwa timu za JKU na Mafunzo za mchezo wao wa Kombe la CAF inayotarajiwa kufanyika katika Uwanja...
View ArticleMakamishna Wawili Kati Ya Sita Wa Tume Ya Uchaguzi Zanzibar Wamepinga...
Wakati wadau mbalimbali wa masuala ya kisiasa wakipinga kile kinachoendelea Zanzibar, nao makamishna wawili wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Nassor Khamis Mohamed na Ayoub Hamad wameibuka na...
View ArticleRais Magufuli Aomboleza Vifo Vya Askari Waliofariki Dunia Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Ernest Mangu kufuatia vifo vya askari watatu...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumatatu Ya Februari 8
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMwalimu Mkuu Ashushwa Cheo na Kukamatwa na Takukuru Kwa Rushwa ya KUKU
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Amani Mwenegoha amemvua wadhifa wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinamila, Mashaka Lusotola na kumrudisha kuwa mwalimu wa kawaida. Hatua hiyo ilikuja baada...
View ArticleCorruption Watch Yapinga Hukumu Ya Ufisadi Wa Benki ya Standard Dhidi Ya...
Hukumu ya kesi ya rushwa ya mkopo uliotolewa na Benki ya Standard ya nchini Uingereza kwa Serikali ya Tanzania imepingwa na taasisi ya kimataifa inayopambana na ufisadi, Corruption Watch, ikisema kuwa...
View ArticleCreate an Object Tracking System: Using Built-in Arduino Libraries
How to use the native Arduino libraries, how to create a custom library, and generate the framework that is to be used for the duration of this project series. Table of Contents: Using Native...
View ArticleAll About Ingenu’s Machine Network
Low-power autonomous IoT? Ingenu says yes. On-Ramp Wireless, rebranded as Ingenu in 2015, designs, sells, and markets The Machine Network , a “… a network of wireless connectivity designed exclusively...
View ArticleThe Twelve Cardinal Rules of Fuseology
Protecting your circuits means ensuring the safety of your design. Whether you’re on the road to getting your electronics engineering degree or are a seasoned electronics circuit design professional,...
View ArticleIntroduction To UAV Photogrammetry And Lidar Mapping Basics
The increasing use of UAVs for photogrammetry and lidar mapping in aerial surveys is not surprising. Using GPS enabled UAVs for aerial surveying is very cost effective in comparison to hiring an...
View ArticleHashim Rungwe Akosoa kauli za Rais Magufuli Kuhusu idara ya Mahakama, asema...
Mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMA Hashim Rungwe amesema kauli iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt John Pombe Magufuli wakati wa maadhimisho ya siku ya Mahakama...
View ArticleMahakama Yatoa siku Saba Marekebisho kesi ya Augustine Mrema Kupinga Ushindi...
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetoa siku saba kwa mawakili waandamizi wa Serikali kutoa majibu ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Vunjo wa TLP, Augustine Mrema ....
View ArticleKambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Yaunda Kanuni Zitakazowaongoza Wabunge Wake
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) imeunda kanuni zitakazowaongoza wabunge wake kuendesha shughuli mbalimbali za chombo hicho cha uwakilishi. Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu aliwaambia...
View ArticleWanafunzi 21 Wafukuzwa Shule Kwa Muda Usiojulikana…….Kosa Lao Ni Kuvaa...
Wanafunzi wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo....
View ArticleJeshi La Polisi Zanzibar Lasema Halitambui Uwepo Wa Mazombi……. Lapiga...
Jeshi la Polisi Zanzibar limewataka madaktari kuacha kuwahudumia watu wanaokwenda hospitali baada ya kupigwa na kikundi cha watu wasiojulikana cha mazombi bila ya kuwa na fomu ya matibabu (PF3)....
View ArticleSerikali yabaini wizi wa takribani Milioni 700 ATCL….Mkurugenzi wa Fedha wa...
Serikali imebaini wizi wa takribani shilingi Milioni 700 katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kupitia kampuni ya Wakala wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel iliyopo visiwa vya Komoro....
View ArticleRais Magufuli Amjulia Hali Mufti Mkuu Wa Tanzania Pamoja Na Kufanya Ukaguzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa...
View ArticleUsing Unit Tests To Write Better Embedded Software
Unit tests can help you write better embedded software. Here’s how. Unit tests are additional software functions that you write to test the software “units” of your application. These tests help you...
View ArticleBandarini Hapakaliki…….TRA Yatangaza Kuwafilisi Wateja 24 Kwa Kutorosha...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeikabidhi Kampuni ya Udalali ya Yono kuwafilisi wateja 24 wanaodaiwa kodi ya Sh bilioni 18.95 baada ya kutorosha makontena ya mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD)...
View Article