Majambazi Yaua Watanzania Wanne Nchini Msumbiji
Wafanyabiashara wanne wa Tanzania wameuwa kwa kupigwa risasi kisha kuchomwa kwa vitu vyenye ncha kali nchini Msumbiji baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleSiku 100 za Rais Magufuli: Hospitali Ya Muhimbili Yang’aa, Mapato Yapaa na...
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam imesema ndani ya siku 100 za kuwepo madarakani kwa Rais John Magufuli, imefanikiwa kuongeza mapato kwa kiwango cha asilimia 90. Pia,...
View ArticleWatu 21 Watiwa Mbaroni kwa Mauaji ya Kondoo Na Mbuzi Mvomero
WENYEVITI wa Serikali za vijiji vya Mkindo, Patrick Longomeza (52) na mwenzake wa Dihombo, Christian Thomas (50) pamoja na wananchi wengine 19 wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kujeruhi mifugo...
View ArticleHakimu na Ofisa Elimu Wafikishwa Mahakamani Wakidaiwa Kula Rushwa
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kintinku wilayani Manyoni Mkoa wa Singida, Mahando Sabato amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Manyoni na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwa tuhuma ya...
View ArticleWaziri Fabius ajiuzulu
Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Laurent Fabius amejiuzulu wadhifa huo . Bwana Fabius ambae pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu ameteuliwa kuwa Rais wa Baraza la Katiba la Ufaransa. Waziri wa mambo ya nje...
View ArticleMikutano zaidi kutafuta suluhu ya mzozo wa Syria
Katika mkesha wa mkutano wa kimataifa hapo kesho Alhamisi jijini Munich kuhusu kuzindia mchakato wa amani nchini Syria, Uturuki imeendelea kufungia mpaka wake ma mia ya wakimbizi wanaokimbia mapingano...
View ArticleRwanda yasisitiza haiwezi kuwafukuza wakimbizi wa Burundi
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Louise Mushikiwabo ameliambia baraza la Seneti hapo jana kwamba, Rwanda haiwezi kuwafukuza wakimbizi wa Burundi kwa muda wote hali ya wasiwasi itaendelea kuripotiwa...
View ArticleMajangili Waliotungua Helkopta Wahukumiwa Miaka 15 Jela
Mahakama ya Wilaya ya Bariadi imewahukumu watu wanne, mmoja kifungo cha miaka 20 jela na watatu miaka 15 kila mmoja waliostakiwa kuwa kutungua helikopta kwenye Pori la akiba Maswa wilayani Meatu na...
View ArticleSiku 100 Za Rais Magufuli Ikulu
Ni kweli siku hazigandi kwamba Rais John Magufuli aliyeingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, ametimiza siku 100 leo. Tangu alipotoa hotuba yake siku ya kuapishwa na ile ya...
View ArticleMaalim Seif Aiandikia Barua Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec)
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameithibitishia rasmi Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) kujiondoa kuwania wadhifa huo katika Uchaguzi wa marudio...
View ArticleSulfuric Acid Safety
Sulfuric acid is strongly corrosive, it will severely damage the human body. Therefore, careful attention must be paid to the handling. In addition, injuries and respiratory by gas such as sulfuric...
View ArticleSulfuric Acid Trouble cases
1. SO3 white smoke jet accident October 1992, from the factory length of the Malaysian company many years of relationship, we have received a sudden international telephone. “Help, Ono san!” At the...
View ArticleSulfuric Acid – Manufacturing process
Manufacturing process -1 In front of SRG burner & WHB, Baoshan Steel Mill, Shanhai, China Overview : Classify general sulfuric acid manufacturing process and it will be the following. 1....
View ArticleSulfuric Acid Handling Equipment Instrumentation Materials of Construction...
Sulfuric Acid Handling Equipment Instrumentation Materials of Construction Inspection Procedures Q. What kind of pump do you use to transfer acid from the tank to the process? A. A centrifugal,...
View ArticleYoweri Museveni Atashinda Uchaguzi Wa Alhamisi
Ndugu zangu, Jirani zetu Waganda wanakwenda kupiga kura Alhimisi Februari 18, 2016. Naziona ishara za Yoweri Museveni kushinda uchaguzi huo. Kwanini? Nina bahati ya kufuatilia kwa karibu siasa za...
View ArticleTAASISI YA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA UMILIKI WA ARDHI "MAMA...
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi...
View Article100kw – 50mw Hydro Francis turbine generator
100kw – 50mw Hydro Francis turbine generator Quick Details water head: 15 m-400 m Power: 100kw-50mw Runner diameter: 0,35-4.0 m We mainly hydraulic turbines, mini-hydro turbine system, Kaplan...
View ArticleDC motor maintenance
It is American-made DC motor . I nsulation improvement repair for the failure . Since this type of removable is stator coil , it is easy rewinding . When poured into the varnish to the rotor coil ,...
View ArticleNape Nnauye Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Wa Habari Na Matukio Pamoja Na Meneja...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Shirika la Utangazaji la Taifa TBC kutokana na utendaji usioridhisha. Akizungumza na waandishi...
View ArticleWaziri wa Afya awasimamisha wakurugenzi wanne MSD
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi wanne toka Bohari ya Dawa ya Taifa(MSD) kwa ubadhilifu wa fedha takribani Shillingi Billion 1.5....
View Article