Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Browsing all 1695 articles
Browse latest View live

Mkoa Mpya wa Songwe na Wilaya Mpya Zaanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Joseph Magufuli ameidhinisha kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya nchini. Akitoa tamko hilo kwa niaba ya Rais Waziri wa...

View Article


Maalim Seif Shariff Hamad Adai Kikwete Ndiye Aliyevuruga Uchaguzi Zanzibar

Mgombea  urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amemtuhumu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa kuingilia uchaguzi Zanzibar. Akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa wilaya na...

View Article


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Atembelea Kambi Ya Wazee Wasiojiweza Na...

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Janeth Magufuli ameziomba na kuzihamasisha taasisi za Serikali na zisizo za Serikali kushirikiana na Serikali kutatua changamoto mbalimbali...

View Article

Viongozi wa Dini Wazidi Kutofautiana Kuhusu Sakata La Zanzibar…….Sheikh Ponda...

Mgogoro kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi viswani Zanzibar unazidi kupasua nchi, sasa viongozi wa Dini ya Kiislam wametofautiana. Ikiwa ni siku moja baada ya Alhad Mussa Salum ambaye ni Sheikh Mkuu wa Dar...

View Article

Nape Nauye Aanika Siri Ya Mafanikio Ya CCM Kuendelea Kushika Dola

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kushika dola licha ya upinzani mkali kutoka vyama vingine vya siasa hasa vile vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa...

View Article


Lowassa Aunga Mkono Maamuzi Ya CUF Kutoshiriki Uchaguzi Zanzibar

Ni dhahiri kuwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema bado ana ndoto za kuwa rais wa Tanzania baada ya kurudia kauli yake ya kwenda Ikulu, lakini safari hii akisema chama hicho kitaingia Ikulu...

View Article

Mwenyekiti Wa Kijij Chadema Akataliwa

Wakazi wa Kitongoji cha Misungwi D, Kijiji cha Misungwi wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza wamemkataa Mwenyekiti wao, Raphael Kimoka (Chadema) kwa tuhuma za kutowasomea taarifa za mapato na matumizi ya...

View Article

Mke wa Kafulila atimuliwa nje ya ukumbi wa bunge

Mbunge wa Viti maalum Chadema Jesca Kishoa ametolewa nje ya ukumbi wa bunge na kutakiwa kutohudhuria vikao viwili vya bunge linaloendelea mjini Dodoma. Hayo yamejiri katika mkutano wa 7 wa bunge la 11...

View Article


Serikali Yalaani Kitendo Cha Kudhalilishwa Kwa Mtanzania Nchini India

Serikali ya Tanzania imesikitishwa na inalaani vikali kitendo cha udhalilishwaji alichofanyiwa mwanafunzi wa kike wa Kitanzania na Kundi la watu katika jimbo la Bangalore nchini India. Kauli hiyo...

View Article


Maalim Seif Azungumza na Viongozi wa CUF Kisiwani Pemba…..Asisitiza...

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka Wazanzibari na wapenda amani kuondoa shaka na kwamba, atatangazwa kuongoza visiwa hivyo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Clinton na Sanders wakabiliana kwenye mdahalo

Image copyright Reuters Image caption Sanders na Clinton ndio wagombea pekee waliosalia chama cha Democratic Hillary Clinton na Bernie Sanders wamekabiliana kuhusu kudhibitiwa na matajiri wa Wall...

View Article

Polisi Watatu Wasimamishwa Kazi Kupisha Uchunguzi wa Binti wa Kitanzania...

Polisi watatu wamesimamishwa kazi kwa muda mjini Bangalore nchini India kwa tuhuma za kukataa kusikiliza na kupokea malalamiko ya watu walioshambuliwa na kundi la watu ambapo mwanafunzi mmoja wa kike...

View Article

Maandammano ya CHADEMA Kesho Kuelekea Ikulu Yapigwa Marufuku

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika hapo kesho na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuelekea Ikulu jijini Dar es salaam...

View Article


Waziri Mkuu Aahirisha Shughuli za Bunge Hadi Tarehe 19 Mwezi wa Nne

Serikali katika  kuongeza na kuimarisha uhakika na usalama wa chakula hapa nchini, imepanga kujenga maghala 275 kwa awamu katika sehemu zenye uzalishaji mkubwa wa zao la mahindi ambapo hadi sasa jumla...

View Article

Mbowe Amtosa Zitto Kabwe Baraza La Mawaziri

Kambi rasmi ya upinzani bungeni, imetangaza baraza lake la mawaziri kivuli ambalo Chama cha ACT Wazalendo, chenye mbunge mmoja, Kabwe Zitto, ndicho hakikuingizwa kwenye baraza hilo. Kiongozi wa kambi...

View Article


Lowassa Afunguka……..Asema Kuitwa FISADI Kulimfanya Ajiondoe CCM Na Kuhamia...

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe na vitisho, kuitwa gamba na fisadi ndani ya...

View Article

Waasi Wa Burundi Wakimbilia Nchini Kushawishi Watanzania Wajiunge Na Vikundi...

BAADHI ya askari waasi wa Burundi, wamebainika kukimbilia nchini na kuanza kushawishi vijana wajisajili ili wajiunge na vikundi vya waasi. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema hayo jana alipokuwa...

View Article


Polisi Watatu Wafa Ajalini Msafara wa Rais Magufuli

Askari polisi watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya gari lao lililokuwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli kutoka Singida kwenda Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka. Rais...

View Article

Sherehe za Miaka 39 ya CCM: Rais Magufuli Atuma Salamu Kwa Watendaji Wavivu...

Rais John Magufuli amewataka watendaji wote wa serikali kuhakikisha kuwa wanatekeleza ipasavyo matakwa ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa. Magufuli ametoa...

View Article

Cartoon

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article
Browsing all 1695 articles
Browse latest View live