Wabunge Wa Upinzani Wagoma Kuteua Wenyeviti PAC Na LAAC
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kutokana na Spika wa Bunge kuteua kibaguzi wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge, wabunge wa upinzani hawatashiriki uchaguzi wa wenyeviti wa...
View ArticleAfande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe...
Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja iliyotolewa na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma. Ikiwa...
View ArticleToka Bungeni: Serikali Yakiri Kasoro Mradi wa TASAF…Yaahidi Kufanya Maboresho
Serikali imekiri kuwepo kasoro nyingi zilizojitokeza katika mradi Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini unaotekelezwa na TASAF ikiwamo ubadhirifu wa fedha kwa Kaya sizizokuwa na sifa kupewa pesa kupitia...
View ArticleBungeni: Mbunge Magdalena Sakaya Aituhumu Serikali Kuwa Chanzo Cha Ukosefu Wa...
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Magdalena Sakaya CUF amesema tatizo kubwa la ajira nchi hii linachangiwa na serikali yenyewe. Magdalena ameyasema hayo wakati akichangia mpango wa serikali kwa...
View ArticleBungeni: Serikali Kuimarisha Miundombinu Kuboresha Utalii Nchini.
Serikali imejipanga kuimarisha miundombinu inayoelekea kwenye mbuga za wanyama na vituo vingine vya utalii nchini ili kuboresha utalii wa ndani na wa nje ya nchi kwa kujenga barabara ili kuwezesha...
View ArticleWaziri Wa Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano Profesa Mbarawa Amteua Bwana...
WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteua Bwana Masanja Kungu Kadogosa kuwa Kaimu Mkurugenzi...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumatano Ya Februari 3
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleKaya 50 karibu na ghorofa 16 eneo la Indira Ghandi zapewa siku 3 kupisha...
Zaidi ya kaya 50 zinazoishi kuzunguka jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gadhi katikati ya jiji ambalo linatakiwa kubomolewa zimepewa siku tatu ziwe zimeondoka kwa muda ili kupisha zoezi hilo...
View ArticleSakata La Mauaji Ya Diwani Wa CUF Lachukua Sura Mpya
Mauaji ya kikatili ya Diwani wa Kata ya Kimwani, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Sylvester Muliga (CUF), yameanza kuibua mambo mazito huku ikielezwa kuwa Ijumaa alikuwa awasilishe hoja kwenye Baraza...
View ArticleBodaboda Agonga Gari Na Kufariki Papo Hapo
DEREVA wa bodaboda, Colnery Mpande (18), mkazi wa Kiluvya Kwa Komba, amekufa baada ya pikipiki aliyokuwa akiiendesha kugonga gari kwa nyuma na yeye kuangukia barabarani na kukanyagwa kichwa na gari...
View ArticleJela miaka 5 kwa kusafirisha Wahamiaji Haramu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imewahukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 kila mmoja, dereva Hansi Mwakyoma (28) na utingo wake, Alex Adam (32) baada ya kukamatwa...
View ArticleWaziri Wa Mambo Ya Nje Augustine Mahiga Ala Kiapo Bungeni Akiwa Mpweke
Kiapo cha uaminifu cha Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga jana, kilikuwa sawa na viapo vingine, lakini alikosa vionjo kama ilivyokuwa kwa...
View ArticleAhadi Ya Rais Mtaafu Kikwete Yaibuliwa Bungeni
Ahadi iliyotolewa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, Januari 25, mwaka 2008, jana ilizua maswali bungeni baada ya Mbunge wa Dimani (CCM), Hafidhi Ali Tahil, kuhoji ni lini Serikali itaanza...
View ArticleMatukio Bungeni JANA.
Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni tayari kuongoza Kikao cha 6 cha Mkutano wa pili wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. Mhe. Balozi Dkt Augustine Maiga akuungia Bungeni tayari...
View ArticleMahakama Yawaachia Huru Watoto Wa Vigogo Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watoto wanane wa vigogo waliokuwa wameshitakiwa wakidaiwa kupatiwa ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutumia vyeti vya kughushi, baada ya...
View ArticleMwanasheria Mkuu Akemea Wabunge Kushabikia Vurugu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amewataka wabunge kusimamia utekelezaji wa sheria wanazotunga na si kuhamasisha uvunjaji wa sheria za nchi. Alitoa kauli hiyo jana wakati akijibu swali la...
View ArticleJaji Mkuu Wa Kenya Ataka Mazungumzo Yaendelee Kumaliza Mzozo Zanzibar
Jaji Mkuu wa Kenya Dk Willy Mutunga ameshauri kuendelea na mazungumzo ya kutafuta suluhu ya kisiasa Zanzibar kwa lengo la kuimarisha Muungano wa Tanzania, huku akionesha hofu kuwa ukivunjika unaweza...
View ArticleWazanzibari Watakiwa Kuhakiki Simu Zao Haraka Ili Kupeka Kufungiwa Ifikapo...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka Wazanzibari kuhakiki simu zao za mkononi ili kuepuka kufungiwa mawasiliano ifikapo Julai, mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo ya kuwapo...
View ArticleTigo Yawapa Wateja Wake Huduma Ya Whatsapp Bure
Kampuni ya Tigo Tanzania ambayo inaongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali imetangaza huduma ya bure ya WhatsApp kwa watumiaji wa huduma hiyo ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni ya simu kutoa ofa ya...
View ArticleOfisa Elimu Atiwa Mbaroni Katavi Akituhumiwa Kumchoma Kisu Na Kumuua Mgoni...
Polisi mkoani Katavi inamshikilia Mratibu Elimu Kata ya Katuma wilayani Mpanda, Mohamed Muna (59) kwa tuhuma za kumchoma kisu na kumuua mkazi wa kitongoji cha Misheni, Gidison Vincent (32), anayedaiwa...
View Article