Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Browsing all 1695 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Using Scilab GUI for RGB and Lux Measurements

Gather data via USB from a BH1745NUC optical sensor and then display color characteristics and illuminance values. Supporting Information This article introduces Scilab. Two previous articles provide...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Awaapisha Balozi Na Makatibu Tawala Wawili…..Amtuea Luteni...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 30 Januari, 2016 amewaapisha Balozi, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania na Makatibu Tawala wawili, Ikulu Jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nchi 12 Za Ulaya na Marekani Zalaani Tume Ya Uchaguzi Zanzibar Kutangaza...

Mabalozi wa nchi zinazounda Umoja wa Ulaya (EU) wameeleza kusikitishwa na kitendo cha Tume ya Uchaguzi (ZEC) kutangaza tarehe ya marudui ya Uchaguzi wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro yakiendelea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Daivid Kafulila Amchokonoa Chenge Kuhusu Sakata La Escrow

Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Jesca Kishoa, amehoji kwa nini Tasisi ya Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema watu 36 watafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi lakini vinara wa kashfa ya Tegeta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama yamfutia kesi mtuhumiwa wa kupokea fedha za akaunti ya Tegeta Escrow

Aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Philip Saliboko, ameachiwa huru katika shtaka la kutuhumiwa kuwa alipokea rushwa ya Sh milioni 40.4 kutoka kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Ya Kukanusha Uvumi Wa Kuwepo Ajira Za Madaktari JWTZ

Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaoeleza kuwa JWTZ limetoa nafasi za kazi kwa vijana wenye fani ya Udaktari na kuwataka vijana hao kuripoti Makao Makuu na vyeti vyao kwaajili ya usaili. Habari hizo...

View Article

Mkoa wa Dar es Salaam Kuwa na Wilaya 5

Rais Dk. John Magufuli ameidhinisha kuwepo kwa wilaya tano katika jiji la Dar es Salaam, badala ya tatu zilizokuwepo awali, ili kuleta maendeleo ya haraka hususan katika elimu.  Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

View Article

Askofu Mpya KKKT Aonya Utumbuaji MAJIPU…….Amtahadharisha Rais Kutumbua Majipu...

(Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na Askofu Mkuu wa KKKT Mstaafu Alex Malasusa baada ya ibada...

View Article


Mahakama Yashusha Rungu kwa Majangili……..Yawapiga Kifungo cha Miaka 20 na...

Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, imewahukumu mtu na kaka yake, kutumikia kifungu cha miaka 20 kila mmoja na kulipa fidia ya sh. milioni 270, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya...

View Article


UKAWA Wapinduliwa….Kamati Iliyoibua Sakata la Escrow Yakabidhiwa Kwa Wabunge...

Wabunge wa upinzani, wakiwamo wanaootoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepata pigo la aina yake baada ya jukumu mojawapo muhimu la kamati wanayopaswa kuiongoza kuondolewa...

View Article

Kundi La Mziki La Navy Kenzo Latoa Wimbo Na Video Mpya-kamati

THE INDUSTRY MUSIC LABEL Baada ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la Navy Kenzo limeanza mwaka vizuri baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na video yake unaoitwa “Kamatia”...

View Article

Toka Bungeni: Nyumba 3500 Kujengwa kwa Ajili ya askari Polisi

Serikali inakamilisha taratibu zakupata mkopo toka serikali ya China bilioni 500 kwaajili ya ujenzi wa nyumba 3500 za askari wa jeshi la polisi nchini kufikia mwaka 2025. Naibu Waziri wa Mambo ya...

View Article

Toka Bungeni : Bunge Latengua Kanuni Ya 94 (1)

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua kanuni ya 94 (1) ya kanuni za kudumu za bunge za mwaka 2006 ili kuliwezesha bunge  kujadili mpango wa serikali utakaotaumika kwa muda wa mwaka wa...

View Article


Kutoka Bungeni: Serikali Kujenga Vyuo Vya VETA kila Wilaya

Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi  inatarajia kujenga Vyuo vya Ufundi (VETA) kwa kila wilaya ili kutoa fursa kwa wananchi wengi hususani vijana kupata mafunzo mbalimbali ya...

View Article

Toka Bungeni: Hatimaye Bunge Laanza Kujadili Mpango wa Maendeleo Uliokwama...

Hatimaye leo Bunge limeanza kujadili mpango wa maendeleo ya mwaka 2016/2017, baada ya bunge hilo kutengua kanuni ili kupitisha mpango huo ambao ulikataliwa wa baadhi ya wabunge wiki iliyopita....

View Article


Rais Magufuli Afanya Mazungumzo Na Mwenyekiti Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi...

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi hapa nchini Mheshimiwa Jaji Damian Lubuva amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa tume hiyo ipo huru na haijawahi kuingiliwa...

View Article

Mke wa Kafulila Amlipua Dr. Mwakyembe Kuhusu Sakata La Mabehewa...

Sakata la ununuzi wa mabehewa kwa ajili ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yanayodaiwa kuwa mabovu liliibuka jana Bungeni na kumuinua Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa...

View Article


CRDB Yawatoa Hofu Wateja Wake Baada Ya Serikali Kuagiza Akaunti za Taasisi...

(Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu serikali kuhamishia akaunti zote za mapato Benki Kuu. Kulia ni Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mugabe bila woga kaeleza yote aliyoambiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete...

Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa  Zimbabwe   Robert Mugabe  kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa  Ethiopia  ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania  Jakaya Kikwete...

View Article

Mbunge Joseph Msukuma Kasheku Ataka Serikali Ihalalishe Bhangi na Mirungi...

Mbunge  wa  Geita vijijini kwa tiketi  ya  CCM, ndugu Joseph Kasheku (Msukuma)  ameishauri serikali  kuruhusu kisheria kilimo cha Bhangi na Mirungi  ili kuiwezesha  kujipatia  fedha za kigeni...

View Article
Browsing all 1695 articles
Browse latest View live