Vyama vya Siasa vyaaswa kushiriki uchaguzi wa Zanzibar
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi. (Picha na Maktaba). Na mwandishi wetu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Mhe.Jaji Francis Mutungi ameviasa Vyama vya Siasa kushiriki chaguzi...
View ArticleMkataba wa Schengen huenda ukasimamishwa kwa muda
Umoja wa Ulaya unasema mkataba wa eneo la Schengen, huenda ukasimamishwa kwa hadi miaka miwili ikiwa utashindwa katika wiki chache zijazo kudhibiti mmiminiko wa wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati na...
View ArticleHuyu Ndiye Gabo Zigamba Mjukuu wa Mzee Kiyeyeu wa Iringa
Gabo Zigamba mwigizaji wa filamu UNAPOSIKIA jina la Gabo Zigamba si jina geni katika tasnia ya filamu , Gabo amejizolea umaarufu katika tasnia ya filamu baada ya kufanya vizuri na kuwachanganya...
View ArticleHausigeli Afariki Kwa Kulawitiwa Na Bosi Wake
Mtumishi wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro, amekufa kwa madai ya kulawitiwa na bosi wake, Zablon...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada Ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake. Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa...
View ArticleHotel ya Mtoto wa Amani Karume yateketea kwa moto, Vijana wawili wahusishwa
Moto mkubwa umeteketeza hoteli ya kitalii ya Konokono Beach Resort iliyoko Michamvi mkoa wa kusini Unguja, inayomilikiwa na mtoto wa rais wa zamani wa Zanzibar, Amina Karume pamoja na wawekezaji...
View ArticleTusimruhusu Rais Magufuli Kusimika Utawala Wa Kidikteta Nchini- ACT Wazalendo
JANA limetokea tukio la aibu katika nchi yetu pale serikali ilipofanya jaribio la hatari la kuzuia wananchi kuona na kusikia kinachoendelea bungeni. Kitendo cha serikali ya CCM kuzuia kuonyeshwa moja...
View ArticleWaziri Mkuu Atoa Ufafanuzi Kuhusu Kauli Yake Ya Kupiga Marufuku Mikutano Ya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefafanua kauli yake ya kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa nchini kuwashukuru wananchi hasa kwa wale wagombea walioshindwa uchaguzi kwa kusema kuwa...
View ArticleKampuni ya Magazeti ya Mwananchi Yakanusha Kujihusisha na Biashara ya...
Idadi ya Raia wa kigeni kutoka nchini Ethiopia waliokuwa wakisafirishwa na Gari la magazeti la kampuni ya Mwananchi Communication Ltd imefikia 12 baada ya wengine 4 kukamatwa Jioni wakiwa Eneo la...
View ArticleVurugu zaibuka, Wabunge wa Upinzani watimuliwa Bungeni
Hali ya Sintofahamu imetawala Bungeni jioni hii kufuatia wabunge wa Upinzani kupinga TBC kusitisha kurusha live matangazo ya moja kwa moja kuanzia jana kwa kigezo cha kubana matumizi. Kutokana na...
View ArticleSerikali ya Zanzibar Yasema Uchaguzi wa Marudio Utakuwa Huru na Wa Haki
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema imejipanga kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa marudio utakaofanyika Machi 20, mwaka huu unakuwa huru na haki kwa kupambana na makundi ya aina ya watu...
View ArticleKesi Ya Askofu Gwajima Kuendelea Kusikilizwa Februari 24
Mahama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema itaendelea kusikiliza ushahidi wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Gwajima anakabiliwa na...
View ArticleWaziri Mkuu Asisitiza Bungeni Leo Kuwa TBC Hawatarusha Live Matangazo ya Bunge
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwamba matangazo ya bunge hayatarushwa yote live kama serikali ilivyosema jana na tayari hatua hiyo imekwisha kuanza. Majaliwa ameyasema hayo alipokuwa akijibu...
View ArticleWizara Ya Ujenzi, Uchukuzi Na Mawasiliano : Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kufungwa...
Tunapenda kutoa taarifa kwa Umma kuwa, Barabara ya Mpanda – Koga – Tabora imefungwa kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zilizosababisha kufurika kwa mto Koga na kufanya daraja la...
View ArticleRais Dkt Magufuli Afanya Uteuzi Wa Naibu Gavana Wa Benki Kuu Ya Tanzania
Rais John Pombe Magufuli leo amemteua Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha. [via LEKULE] Follow us @automobileheat...
View ArticleBreaking News: CUF hawatashiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar
Azimio La Baraza Kuu La Uongozi La Taifa Kuhusu Tangazo La Mwenyekiti Wa Tume Ya Uchaguzi Ya Zanzibar La Kuitisha Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED...
View ArticleZitto Kabwe: "Serikali Imekurupuka, Kuongoza Nchi Sio Kutumbua Majipu Tu"
Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amefunguka na kuonesha masikitiko yake kwa kitendo cha serikali kushindwa kuleta Bungeni mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano. Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake...
View ArticleWaziri Mkuu: Tutahakikisha Nidhamu Inarudi Serikalini
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa,amesema serikali imeweka msisitizo katika kuhakikisha inarudisha nidhamu kwa watumishi wa umma kwa kuweka mkazo katika uadilifu, uwajibikaji, kutoa...
View ArticleProfesa Mbarawa Akagua Athari Za Barabara Moro – Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemwagiza Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mkoa wa Dodoma Eng. Leonard Chimagu kuhakikisha ukarabati wa barabara katika...
View ArticleTANESCO joins hands with German financial cooperation, AFD and the EU to...
Head of Cooperation for European Union, Eric Beaume gives his remarks during the event. Looking from (right) is; Tanesco Managing Director, Eng Felchesmi Mramba, Embassy of Federation Republic of...
View Article