VIDEO: JWTZ Yafafanua Kuhusu Rais Magufuli Kuvaa Mavazi ya Kijeshi
January 22, 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga “Zoezi Onesha Uwezo Medani” lililofanywa na Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
View ArticleAmiri Jeshi Mkuu Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 23 Januari, 2016 ametunuku kamisheni kwa Maafisa wapya 205 wa jeshi la wananchi kundi la 57/15 katika...
View ArticleUVCCM Mkoa wa Vyuo Wampa Makavu Benard Membe Kwa Kumponda Rais Magufuli
SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa habari, nimewaita hapa kuelezea masikitiko makubwa kutokana na kauli za hivi karibuni za aliyekuwa waziri wa mambo...
View ArticleLowassa na Maalim Seif Wajifungia Dodoma Kujadili Hatma Ya Zanzibar la Sakata...
Viongozi wa juu wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akiwamo aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Edward Lowassa na wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad,...
View ArticleWatumishi 6 Watiwa Mbaroni Kwa Ufisadi Wa Milioni 800
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Mika Nyange WATUMISHI sita wa Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoa wa Shinyanga, wamekamatwa na Polisi. Wafanyakazi hao ni miongoni mwa waliosimamishwa kazi hivi...
View ArticleMbivu mbichi hukumu ya kesi ya kupinga bomoa bomoa mabonde ya Kinondoni...
Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulya (CUF) (katikati) akiwa pamoja na wanasheria wanaosimamia kesi ya msingi ya kupinga kubomolewa kwa wakazi wa mabondeni waliopo kweny mabonde ya Kinondoni...
View ArticleRais Magufuli Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa NIDA……Awarudisha Nyumba...
1.0 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) 1.1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua uteuzi wa Bwana Dickson E. MAIMU ,...
View ArticleEsther Bulaya Ashinda Kesi Ya Kupinga Ushindi Wake Iliyofunguliwa na Stephen...
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wapambe wa aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya CCM, Stephen Wassira kwa madai kuwa waleta...
View ArticleSakata la ESCROW: Magufuli mkamate Seth wa IPTL
JUMUIA ya Wanazuoni Watetezi wa Rasilimali nchini (JUWARA), imewataka wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania linalotarajia kuanza rasmi vikao vyake vya kujadili hotuba ya Rais aliyoitoa...
View ArticleAndrew Chenge Ateuliwa Kuwania Uenyekiti wa Bunge
Kamati ya Uongozi ya Bunge imepitisha majina matatu ya wabunge watakaowania nafasi ya uenyekiti wa Bunge. Majina hayo yamepitishwa na kamati hiyo iliyoketi jana kuanzia saa 3.00 asubuhi hadi saa...
View ArticleMhandisi George Sambali Ateuliwa Kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Wa Mamlaka ya...
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Profesa Makame Mbarawa amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), Mhandisi George Sambali kukaimu nafasi...
View ArticleWaziri wa Ardhi , William Lukuvi Aagiza Kukamatwa kwa Watendaji wote...
Serikali imeliagiza jeshi la polisi na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa kuwakamata, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani viongozi na watendaji wote hata kama wamestaafu madaraka yao, walio...
View ArticleMbunge wa CHADEMA Atimuliwa Kwenye kikao na Polisi
Mbunge wa Kilombero, Peter Elijualikali jana alijikuta akitolewa nje ya kikao cha Halmashauri ya Kilombero na jeshi la polisi kwa amri ya Mwenyekiti wa kikao hicho kwa madai kuwa sio mjumbe halali wa...
View ArticleCAR: Uchaguzi wa wabunge wafutwa
Afisa wa Tume ya Uchaguzi akihesabu kura baada ya kufungwa kwa kituo cha kupigia kura katika mji wa Bangui, Desemba 30, 2015. Na RFI Duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge nchini Jamhuri ya Afrika ya...
View ArticleWatumishi wa Umma mnakumbushwa tena kuvaa beji zenye majina yenu.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ameagiza na kusisitiza ofisi zote Umma kusimamia na kuhakikisha kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu kila watumishi awe na kitambulisho (beji)...
View ArticleWaziri Simbachawene Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. George Simbachawene amemvua madaraka Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Dodoma, Bw. Augustino Kalinga kufuatia...
View ArticleBunge la 11 Linaanza Leo…..Haya ni Mambo 8 Yatakayowasha Moto Bungeni
Kikao cha pili cha Bunge la kumi na moja linalotarajiwa kuwa na ushindani mkali wa hoja kati ya wabunge wa vya upinzani vinavyounda Ukawa na wabunge wa CCM kimeanza leo mjini Dodoma huku mambo 8...
View ArticleKampuni Ya UDA Yakanusha Kufilisika
Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited....
View ArticleMajaliwa atoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria wa Bunge
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na...
View ArticleMaktaba ya kuelea’ yatia nanga Dar es Salaam
Meli ambayo imebebea maelfu ya vitabu, ambayo huhudumu kama maktaba, imetia nanga bandarini Dar es Salaam. Meli hiyo ina zaidi ya vitabu 5,000 pamoja na video. Itakuwa bandarini Dar es Salaam kwa muda...
View Article