Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Majaliwa atoa heshima za mwisho kwa Mwanasheria wa Bunge

$
0
0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda  nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri  Mkuu  Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa  baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles