Working of Contactors
There are posts on the working of relays, types of relays and so on. To know about them click on the links below. A contactor is also a type of relay. Although they have been explained in earlier...
View ArticleWorking of Digital Cameras
I have already described about the working of a camera. Almost all the basics of this post have been explained there. Now let us know more about a digital camera, its working, and also advantages. The...
View ArticleAnthropomimetic Machines
Anthropomimetic Machines The Robotics technology has become highly advanced to such a level that even people who have routine jobs [in industries] are replaced by robots. Though the initial cost of...
View ArticleMbowe Azungumzia Kasi ya Rais Magufuli…..Adai Kuwa Mpinzani Haimaanishi...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amezungumzia kasi aliyoanza nayo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli pamoja na baraza lake la mawaziri. Akizungumza jana na mwandishi wa...
View ArticleMapigano ya Wafugaji na Wakulima Morogoro: Serikali Yabomoa Mabanda ya...
WAFUGAJI waliovamia maeneo ya wakulima katika kijiji cha Dihinda wilayani Mvomero mkoani Mogorogo na kusababisha mapigano yaliyoua mkulima na ng’ombe 71, wamekimbia kijijini hapo na kutokomea...
View ArticleLowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia...
View ArticleKAMPUNI YA TINGATINGA IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA BRICOLEUR HOLDINGS...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bricoleur Holdings ya nchini Japan, Bi. Yu Shiran (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kushirikiana kufanya kazi za sanaa na Kikundi cha Sanaa...
View ArticleRais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dkt. Edward Hoseah kutokana na kutorishwa na...
View ArticleTangazo la Semina za Ujasiriamali Zitakazotolewa Jijini Dar es Salaam
Taasisi ya Neema Institute Of N.G.O Management , inatangaza nafasi za kushiriki katika semina za ujasiriamali kwa watu wote. Mafunzo yatakayo tolewa pamoja na gharama yake, ni kama...
View ArticleDk. Didas Masaburi Akubali Yaishe….AFUTA Kesi Ya Kupinga Ubunge Wa Saed Kubenea
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo (CCM), Dk. Didas Masaburi jana ameifuta kesi ya uchaguzi ya kupinga ushindi wa Mbunge, Saed Kubenea. Maombi ya kufutwa kwa kesi hiyo yaliwasilishwa...
View ArticleWafugaji Watoa Tamko zito Kwa Serikali
JUMLA ya Asasi 45 zinazofanya kazi na wafugaji wa asili kuhusu migogoro ya ardhi Tanzania, wamelaani na kutoa tamko la kuitaka serikali kuwawajibisha watumishi wote wa serikali na baadhi ya viongozi...
View ArticleWaziri Wa Kilimo Atoa Saa 48 Kwa Kampuni Ya Sparkway Ltd Kulipa Billion 3.4...
Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba ametoa masaa 48 kuanzia jana kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya...
View ArticleKampuni Ya Meli Yatumia Mil. 300/- Za Serikali Bila Idhini
KAMPUNI ya serikali inayotoa huduma za meli katika eneo la Maziwa Makuu, Marine Services Company Ltd (MSCL), inadaiwa kutumia kinyume sh.milioni 300 kati ya milioni 600 ilizokuwa imepewa kutengeneza...
View ArticleSelection Sort in C/C++/Java programming languages
In the previous article, we have analysed Bubble sort algorithm and it’s implementation in C programs. In this article we are going to see another sorting algorithm, named, Selection sorting. Just...
View ArticleBubble Sorting with example in C/C++/Java
Bubble sorting is one of the simplest sorting algorithm that we can use to sort an array or a structure. Though it is so simple to implement in a C program, bubble sort is also considered as an...
View ArticleIntroduction to pointers in C
The basic purpose of developing a C programming tutorial for this website – CircuitsToday – is to make it useful for people who wish to work with embedded systems. Really good C programming skill is...
View ArticleCAG Akaidi Agizo la Rais Magufuli……. Aenda Nairobi, Kenya Kwa Fedha za...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, amekiuka agizo la Rais Dk. John Magufuli, baada kusafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu. Kwa mujibu wa gazeti la...
View ArticleViongozi wa Chadema na CCM Watwangana Ngumi Kwenye Uteuzi Wa Meya
Zogo kubwa liliibuka katika kikao cha kuwachagua Meya na Naibu Meya wa Manispaa ya Dodoma jana. Zogo hilo lilisababisha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleAkamatwa akihusishwa na mauaji Califonia
Mashambulizi ya mjini California yaligharimu maisha ya watu 14 Rafiki wa wapenzi waliotekeleza mashambulizi na kusababisha mauaji ya watu 14 mjini San Bernadino huko califonia nchini Marekani mwanzoni...
View ArticleJose Mourinho atimuliwa kazi Chelsea
Jose Mourinho. Meneja wa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Jose Mourinho amefutwa kazi baada ya klabu hiyo kufululiza kwa matokeo mabovu. The Blues walishinda Ligi Kuu England msimu uliopita lakini msimu...
View Article