Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba ametoa masaa 48 kuanzia jana kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho. Kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani jana.
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat