Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo (CCM), Dk. Didas Masaburi jana ameifuta kesi ya uchaguzi ya kupinga ushindi wa Mbunge, Saed Kubenea. Maombi ya kufutwa kwa kesi hiyo yaliwasilishwa mahakamani hapo na wakili wake Clement Kihoko ambapo mahakama hiyo chini ya Jaji Lugano Mwandambo ilimwamuru Masaburi kulipa nusu ya gharama za kesi kwa mlalamikiwa( Kubenea)
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat