LED – Photovoltaic loop generator
The LED – Photovoltaic loop generator, also known as a photoelectric cell loop generator, is a nice and easy to build topology of a free energy generating device. This self-operating system is using...
View ArticleWalichokisema Stanslaus Mabula (CCM) baada ya ushindi pamoja na Ezekiel Wenje...
Stanslaus Shing’oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM). Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema)...
View ArticleWatu 27 waripotiwa kuwa na ugonjwa Kipindupindu jijini Arusha
Mkuu wa wilaya ya Arusha, Fadhili Nkurlu. Mahmoud Ahmad Arusha Jumla ya watu 27 waliripotiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu huku kati yao 6 walithibitishwa kuwa na ugonjwa wa kipindupindu....
View ArticleUpdates: Vyama Vya Siasa Vinatia Saini Muda Huu Kukubali Matokeo Yaliyotangazwa
Vyama vyote vilivyosimamisha wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeridhia usahihi wa matokeo ya Urais isipokuwa CHAUMMA na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Hivi sasa...
View ArticleBreaking News: Dr John Pombe Magufuli Atangazwa Rasmi Kuwa Mshindi Wa Kiti...
Tume ya uchaguzi ya Tanzania Bara (NEC) kupitia Mwenyekiti wake Jaji Damian Lubuva imemtangaza Rasmi mgombea Urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli kuwa mshindi halali wa kiti cha Urais...
View ArticleTamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa...
Watanzania wenzangu! Leo tarehe 29 October 2015, kwa kupitia Mgombea Mwenza wangu, Mh. Juma Duni Haji nimewasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa Mwenyekiti...
View Article38 kizimbani kwa kufanya vurugu Mbagala wakati wa uchaguzi
Watu 38 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi K isutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kutoa vitisho vya shinikizo kwa msimamizi atoe matokeo ya Ubunge ya Mbagala bila ya kufuata...
View ArticleRaila Odinga Ampongeza Magufuli….Atoa Ushauri Kwa Lowassa
Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania. Aidha, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe....
View ArticleRaila Odinga congratulates John Magufuli on winning Tanzania election
CORD leader Raila Odinga has sent a message of goodwill to the newly elected President of Tanzania John Magufuli. “Please accept my warmest congratulations personally and on behalf of the Orange...
View ArticleProfesa Kitila Amtaka Lowassa Akubali Yaishe
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi...
View ArticleHali ni Tete Zanzibar….Bomu Lategwa Kituo cha Polisi, JWTZ Waliwahi na Kulilipua
Jeshi la Polisi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi (JWTZ), limefanikiwa kuteguwa bomu lilitegwa eneo la Mkunazini karibu na kituo cha polisi mjini Zanzibar. Bomu hilo lilitegwa na watu...
View ArticleObama aing’oa Burundi kutoka kwenye AGOA
Marekani imeiondoa Burundi kutoka kwenye mikataba yake ya kibiashara AGOA iliyowezesha mataifa ya Afrika kuingiza bidhaa zao katika soko la Marekani bila kulipa kodi. Katika barua aliyoiandikia bunge...
View ArticlePolisi yavamia kituo cha ukusanyaji taarifa cha TACCEO na kukamata maafisa 36...
Wakili Imelda – Lulu Urio Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC. Na Mwandishi wetu Mtandao wa Asasi za Kiraia za Kuangalia chaguzi nchini jana ulipata pigo katika mwendelezo wake wa kukusanya taarifa juu...
View ArticleYMC yaendesha mafunzo ya siku mbili ya utafiti wa taaluma shule za msingi...
Mratbu wa shirika la Uwezo mkoa wa Singida, Nason W.Nason, akitoa nasaha zake kwenye mafunzo yaliyohusu kufanywa kwa utafiti juu ya taaluma shule za msingi manispaa ya Singida.Wa pili kulia ni Kaimu...
View ArticlePhilip Morris International continues to support sustainable agriculture in...
-P MI purchases tobacco from three suppliers in Tanzania, contributing more than US$150-million annually to the economic development of the country’s rural areas Philip Morris International (PMI) (...
View ArticleTaarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar
Jumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato...
View ArticleWakazi zaidi ya 100 wa mtaa wa Kasera Kange jijini Tanga wameagizwa kuvunja...
Wakazi zaidi ya 100 wa mtaa wa Kasera Kange jijini Tanga wameagizwa kuvunja nyumba zao kisha kuondoka mara moja katika eneo hilo kufuatia baadhi ya viongozi wa serikali kumega sehemu ya ardhi ya...
View ArticleBaada Ya Kushinda Udiwani, Baba Levo Kutumia Milioni 110 Kufungua Studio...
Baba Levo ambaye hivi sasa ni mheshimiwa Diwani Mteule wa Kata ya Mwanga, Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT –Wazalendo, amepanga kubadili mazingira ya muziki Kigoma na kuwavuta wasanii wa Dar es Salaam...
View ArticleMatokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015 Yako Hapa
Haya ndo Matokeo…Bonyeza Mkoa husika kuyaona ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA...
View ArticleHighnes Kiwia Kupinga Matokeo Ya Mabula Mahakamani
ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Highnes Kiwia, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa ushindi, Angelina Mabula...
View Article