Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Walichokisema Stanslaus Mabula (CCM) baada ya ushindi pamoja na Ezekiel Wenje (CHADEMA) baada ya kushindwa

$
0
0

Stanslaus Shing’oma Mabula akiongea na wanahabari usiku wa kuamkia jana Octoba 27,2015 muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa Ubunge Jimbo la Nyamagana (CCM). Ezekiel Dibogo Wenje (Chadema) akiongea na wanahabari muda mfupi kabla ya matokeo kutangazwa usiku wa Kuamkia jana. Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jijini Mwanza ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Titho Mahinya akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimboni Nyamagana.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles