Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Updates: Vyama Vya Siasa Vinatia Saini Muda Huu Kukubali Matokeo Yaliyotangazwa

$
0
0

Vyama vyote vilivyosimamisha wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeridhia usahihi wa matokeo ya Urais isipokuwa CHAUMMA na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)   Hivi sasa wawakilishi wa vyama hivyo vilivyoridhia wanasaini fomu maalumu kuridhia matokeo hayo.   CHADEMA hakikuwakilishwa katika kikao cha kuridhia matokeo wakati mwakilishi wa CHAUMMA aliyekuwepo kikaoni amekataa kutia saini.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles