Kama jina lako halijabandikwa kituoni,Hutaruhusiwa Kupiga Kura
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleJK leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...
View ArticleRais Kikwete Azindua Uwanja wa Ndege Katika Kambi ya Jeshi ya Ngerengere...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amezindua uwanja wa ndege katika kambi ya kijeshi ya anga iliyoko Ngerengere mkoani Morogoro ambapo alisema anajivunia kutoka madarakani akiwa ameiacha nchi katika hali...
View ArticleMambo Yatakayosababisha Kura Yako Iwe "Imeharibika" au "Sahihi"
Kura halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi na kuondoa utata.. Kura iliyoharibika ni ile ambayo:...
View ArticleKikwete: "Kutumia Fedha Nyingi Kujenga Jeshi Letu siyo Ubadhirifu wa Fedha"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania inaimarisha Jeshi lake – Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), siyo kwa nia ya kumchokoza...
View ArticleVIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
Oktoba 20 Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alifanya mahojiano na waandishi wa habari nyumbani kwake Butiama Mara. Hii ni sehemu ya mahojiano ambayo ina ujumbe wake kwa Watanzania wote...
View ArticleKesi Ya Kukaa Mita 200 Ni Kaa La Moto…….Mawakili Watoana Jasho Kwa Vifungu...
Mvutano mkali wa hoja za kisheria ulitikisa kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana wakati Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Tulia Ackson alipoiomba mahakama itupilie mbali maombi ya...
View ArticlePicha 16 Za MAFURIKO Ya Lowassa Huko Tanga- Jana Oktoba 21
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano...
View ArticleBaa zaagizwa kufungwa mkesha wa uchaguzi Dar.
Serikali jijini Dar es Salaam imeagiza baa zote zinazouza pombe mpaka asubuhi kusitisha shughuli hiyo mkesha wa siku ya uchaguzi ili kuimarisha usalama Jumapili ijayo. Aidha, imesisitiza kwamba kila...
View ArticleMatokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne, JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro katika uwanja wa Karume...
View ArticleMkuu wa Jeshi (IGP) Apiga Marufuku Mikusanyiko ya Watu siku ya Kupiga Kura
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani. Pia, Jeshi hilo limesema mikusanyiko ya aina yoyote...
View ArticleWanawake na Watoto Waanza Kuodoka Mkoani Mtwara Wakihofia Kutokea Kwa Vurugu...
Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi. Kwa mujibu wa Dw ,watu...
View ArticleNape Nnauye Apata AJALI Mbaya Ya Gari Akitokea Dar Kwenda Lindi
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa...
View ArticleUnachopaswa Kufanya siku ya Uchaguzi- Jumapili
Keshokutwa ni siku itakayokuwa na mambo mengi kwa sababu ya Uchaguzi Mkuu. Pamoja na ratiba ya kila mmoja lakini kupiga kura ni suala linalowaunganisha Watanzania wote. Ili kumchagua rais, wabunge na...
View ArticleLowassa Kuhutubia Taifa LEO Oktoba 23, 2015 Saa tatu usiku
TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kupitia taarifa hii kwa vyombo vya habari, tunapenda kuutaarifu umma wa Watanzania wote nchini kuwa Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa...
View ArticleBawacha: Wanawake Mkipiga Kura Kaeni Mita 200 Mzilinde Zisiibiwe
BARAZA la Wanawake la Chama Cha Demokrasia (Chadema) Taifa, Bawacha, limewataka wanawake nchi nzima kupiga kura na kukaa mita 200 ili kulinda kura zao kwani ni haki yao kisheria. Kauli hiyo imetolewa...
View ArticleTaarifa ya Uongo na Upotoshaji Kumhusu Jaji Mkuu Kukubali Wananchi Kukaa Mita...
2.0 Taarifa hii si ya ukweli na ni ya upotoshaji,Mhe Jaji Mkuu hajawahi kuzungumzia chochote kuhusu sheria hiyo ukitilia maanani kesi hiyo iko Mahakama Kuu shauri Namba 37 ya 2015 iliyofunguliwa na...
View ArticleKortini Kwa Kumtukana Rais Kikwete Na Ridhiwan Wakati Akiwa Baa
Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), jana alipandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Mbali na shitaka hilo,...
View ArticleHatimaye Mahakama Yatoa HUKUMU Kesi Ya Kukaa Mita 200 Baada Ya Kupiga Kura
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga kura. Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema...
View ArticlePicha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi...
View Article