Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22

$
0
0

Ligi Kuu soka  Tanzania  bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne,   JKT Ruvu  walikuwa wenyeji wa   Mtibwa Sugar  ya  Morogoro katika uwanja wa  Karume  wakati  Ndanda FC  walikuwa wenyeji wa  Azam FC  katika uwanja wa  Nangwanda . Mwadui FC  ya  Shinyanga  inayofundishwa na  Jamhuri Kiwelu  ilikuwa mwenyeji wa Mgambo Shooting  ya  Tanga  katika uwanja wa  Mwadui  wakati  Mbeya City  ilikuwa mwenyeji wa  African Sports  ya  Tanga  katika uwanja wa  Sokoine Mbeya . Matokeo ya mechi za leo October 22

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles