Picha: Mafuriko ya LOWASSA Yahamia Tabora
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015. Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa...
View ArticleKubenea Kumvaa Dr. Slaa……Asema Ataanika Maovu yake Yote Watanzania Wajue
Katika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la...
View ArticleKinana Amsafishia njia Magufuli
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameongoza timu ya chama hicho kumsafishia njia Mgombea Urais wao, Dk John Magufuli mkoani Kilimanjaro, huku akiwaambia wananchi wa mkoa huo...
View ArticleMzindakaya: Msipige Kura kwa Ushabiki
MWANASIASA mkongwe nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya amewataka Watanzania wasikubali kupiga kura kwa ushabiki. Ameonya kuwa upigaji kura kwa ushabiki, utaligharimu...
View ArticleMke Mdogo wa Dr. Slaa Naye Ajibu Mapigo……Asema Mumewe ameachana na Siasa na...
Hatimaye mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa...
View ArticleUchina yafaa kueleza sera zake za uchumi
Wizara ya fedha ya Marekani imesema inaonesha Uchina imefahamu kwamba inahitaji kuimarisha mawasiliano kuhusu sera zake za uchumi baada ya mtafaruku wa mwezi uliopita katika masoko ya fedha ya...
View ArticleLowassa AFUNIKA Nzega……Maelfu ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wake
Chopa ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku...
View ArticleZantel yalisaidia jiji la Tanga vifaa vya usafi
Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa mkoa wa Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa...
View ArticleViongozi wa taasisi za vijana wakutana kujadili mtaala wa kufundishia...
Picha ya pamoja wakati viongozi hao walipotembelea TaTEDO. Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundisha...
View ArticleGwajima kujibu mapigo ya Dk Slaa kesho Dar
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kesho anatarajia kujibu mapigo kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye hivi karibuni...
View ArticleSolar Heating Systems
A roof does not necessarily have to be orientated exactly to the south in order to serve as a mounting surface for solar collectors. Variations from southern orientation of up to 30° lead to only low...
View ArticleSolar Collectors: Different Types and Fields of Application
Solar collectors transform solar radiation into heat and transfer that heat to a medium (water, solar fluid, or air). Then solar heat can be used for heating water, to back up heating systems or for...
View ArticleSolar Power for Hot Water and Heating
The Sun supplies us with an enormous daily energy potential that exceeds primary energy consumption, by 80 times in Germany, for example. This energy source is virtually inexhaustible and is also at...
View ArticleSolar electricity: Stand-alone photovoltaic systems
Wherever a power grid is not or not at reasonable costs available, a stand-alone photovoltaic system can be used to generate the needed electric energy. Examples for such an application are alpine...
View ArticleSolar Energy, Batteries, and Autonomy
This is the third post in my series on our photovoltaic generator. It had been a part of previous post with the data for the first month , but I cut and saved it as the other post was so long already....
View ArticleHaving Survived the Hottest July Ever (Thanks, Natural Cooling!)
July 2015 was the hottest July ever since meteorological data had been recorded in Austria ( since 248 years ). We had more than 38°C ambient air temperature at some days; so finally a chance to...
View ArticleLowassa: Sina muda wa kujibu matusi ya CCM
MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi...
View ArticleMkuu wa Jeshi la Polisi Asema Kuzidisha Muda wa Kampeni si Kosa la Jinai
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema hakuna sheria inayozuia wagombea urais, ubunge na udiwani kufanya kampeni zaidi ya saa 12 jioni isipokuwa ni kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
View ArticleThe moment devastated mum confronts the doctor who stole her child (photos)
This is the moment a devastated mum confronted the El Salvador doctor suspected to have swapped her new born child for a darker skinned baby after she gave birth at his hospital in May, as he was...
View ArticleDk Slaa asubiri majibu ya Askofu Gwajima leo
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa. Dar es Salaam. Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema anasubiri...
View Article