Anaswa na kombati za komandoo
Kijana Zakaria Joseph akiwa amevalia kombati za jeshi. K IJANA aitwaye Zakaria Joseph 22, (pichani)mkazi wa Maili Moja, Kibaha, mkoani Pwani, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuvaa sare za...
View ArticleMgombea Ukawa atumia muda mwingi kutambulisha familia
Mgombea udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chadema , Mapunda Lusewe akitambulisha familia yake jukwaani. Na Dustan Shekidele, Morogoro M GOMBEA udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chama...
View ArticleMasha adai mashtaka dhidi yake ni batili
ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amewasilisha mahakamani pingamizi juu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi, akisema mashitaka...
View ArticleMagufuli mtegoni….Wananchi Wampokea Kwa Mabango Wakimtaka Amnyang’anye Shamba...
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM,Dk. John Magufuli jana alikumbana na mtihani wa kwanza wa wananchi baada ya kupokewa na mabango yenye ujumbe mbalimbali. Miongoni mwa mabango hayo ni lile lililokuwa...
View ArticleDk Slaa atimkia Marekani, nyumba italindwa na polisi…..Hapa Nimekuwekea...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Dk. Willibrod Slaa amesema anakwenda Marekani pamoja na familia yake kwa mapumziko. Hata hivyo, taarifa zinasema Dk. Slaa...
View ArticleVIDEO: Gwajima Amlipua Dr Slaa, Atoa ONYO Kwa Usalama wa Taifa……Walinzi,...
Askofu Josephat Gwajima amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu Tuhuma alizopewa na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Hapa kuna video 7 za mazungumzo yote ya...
View ArticleTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Nao Wamuonya Lowassa Kwa Kauli ya Kibaguzi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kitendo kilichofanywa na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa cha kuomba kura kwa kuwataka waumini wa madhehebu ya Kilutheri kumchagua yeye, kamwe...
View ArticleMkapa Aendelea Kuuponda Upinzani……Asema Mabadiliko Yataletwa na CCM Pekee na...
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM. Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa...
View ArticleAl Shabaab wadai kuteka askari wa Uganda
Wapiganaji wa Al Shabaab BBC SWAHILI. Wapiganaji wa kiislamu wa Alshabab wamesema katika maneno yao kuwa linawashikilia mateka wa kivita kutoka Uganda waliowateka wakati wa mashambulizi ya wiki...
View ArticleSyria: London na Paris waandaa mashambulizi ya anga dhidi ya IS
Rais François Hollande na Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron katika mkutano wa G7 Juni 7, 2015 katika mji wa Garmisch-Partenkirchen. Na RFI Kutokana na hatari ya mashambulizi yanayoongozwa kutoka...
View ArticleA Safe And Fun Haven For Families
Head of Marketing The Walt Disney Company Africa, Deirdre King, talking to journalists (not in picture) who were attending the second edition of MultiChoice Africa Content Showcase Extravaganza...
View ArticleMaonesho ya bidhaa toka China (Brands of China) kurindima Sept 10 hadi 13...
Mkurugenzi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA), Daniel Machemba akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa toka China...
View ArticleNauli ya Mabasi ya Mwendo Kasi Dar Ni Sh. 900.
Ukali zaidi wa maisha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam unakuja kutokana na viwango vipya vya nauli za magari yaendayo haraka kuwa kati ya Sh. 500 hadi 900 kwa safari moja kwa mtu mzima. Aidha,...
View ArticleMrema: Chadema mbona mnanishambulia, tatizo ni uzee wangu?.
Mwenyekiti Taifa wa chama cha Tanzania Labour Party TLP, na mgombea Ubunge jimbo la Vunjo Augustino Mrema, amelalamikia kuwa anafanyiwa siasa chafu na wapinzani wake. Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleWanne wajitosa uchaguzi wa Mufti
KAIMU Mufti wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Shekhe Abubakar Zuberi Ally ni miongoni wa mashehe wanne waliojitokeza kuwania kuchaguliwa kwenye nafasi ya Mufti kwenye uchaguzi utakaofanyika...
View ArticleMajibu ya Roma Mkatoliki baada ya single yake mpya kuzuiliwa kuchezwa kwenye...
. Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya...
View ArticleMoore’s Law: 50 Years and Beyond
In the April, 1965 edition of Electronics magazine, Gordon Moore made an ambitious but not altogether extraordinary observation about the trend of component size on semiconductor wafers. In the...
View ArticleLHRC yamtaka Dkt. Magufuli kufuta kauli zake
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimekemea kauli zenye kuwajengea hofu wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kidemokrasia unaoendelea kwa kutoa mifano isiyoshabihiana na hali iliyopo...
View ArticleMbunge wa CCM Aibuka Katika Mkutano wa ACT-Wazalendo…..Polisi Wamwondoa...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), aliyemaliza muda wake, Ally Keissy jana aliibuka kwenye mkutano wa kampeni wa chama cha ACT-Wazalendo na kupinga maelezo kwamba mshahara wake wa ubunge ni zaidi ya...
View ArticleEng.Hamad Masauni Afungua Mafunzo ya Vijana wa TUEPO Kuwajengea Uwezo Vijana...
Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika...
View Article