Waziri wa Mambo ya nje, Balozi Mahiga Asema Serikali imesikitishwa na...
Serikali imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa Marekani kusitisha uhusiano katika Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), bila kuishirikisha wala kuisikiliza. Kadhalika, imesema hakuna umuhimu wa misaada...
View ArticleMajibu ya REA baada ya MCC kukatisha msaada wa TRILIONI 1 kwa Tanzania
Siku kadhaa zilizopita bodi ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia ( MCC) ilisitisha msaada wa awamu ya pili wa kutoa zaidi Trilioni 1.4 kwa Tanzania kutokana na kile lilichosema kuwa ni...
View ArticleMambo matano ya kufahamu kuhusu Daraja la Kigamboni Dsm kabla ya kuanza...
Ujenzi wa daraja la Kigamboni ambalo linapita juu ya bahari ya hindi Dar es salaam kuwezesha wanaokwenda na kutoka Kigamboni kuvuka kwa urahisi bahari bila kutumia Pantoni, umekamilika kwa asilimia 90...
View ArticleBinti Ajinyonga huko Longido …Aacha majina ya watu anaowadai na Kuagiza...
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na...
View ArticleWatu 580 Wajitokeza Kuhakiki Silaha Dar es Salaam
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema watu 574 wamejitokeza kuhakiki wa silaha zao. Mkuu wa mkoa huo, Paul Makonda alitoa siku 90 kwa wakazi wa Dar es Salaam wawe wamehakiki silaha zao...
View ArticleTanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Yasema Imejipanga kukusanya Bilioni 8...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema imeanza kutekeleza mikakati mipya ya ukusanyaji wa mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wadaiwa ambayo itaongeza wastani wa ukusanyaji wa Tshs...
View ArticleMkuu wa Wilaya Aagiza kushushwa Vyeo Wakuu wa shule za Msingi na Sekondari...
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho ameagiza kushushwa vyeo wakuu wa shule zote za msingi na sekondari katika wilaya hiyo, ambao shule zao zimefanya vibaya katika matokeo ya...
View ArticleMeya Wa Jiji La Dar Es Salaam, Isaya Mwita Aapishwa
Meya Wa Jiji La Dar Es Salaam, Isaya Mwita amesema kati ya Aprili 10 na 11 ataitisha kikao cha kwanza cha Baraza la Jiji, kwa ajili ya kumpata naibu meya. Mwita aliyasema hayo jana muda mfupi baada...
View ArticleZitto Kabwe Kutumia Ripoti ya CAG Kuwaumbua Watumishi HEWA Wizara ya Ujenzi
Mbunge wa Kigoma mjini kupitia ACT wazalendo Zitto Kabwe, ameitaka serikali kuwabainisha wafanyakazi hewa kwenye wizara, baada ya agizo la Rais la kuhakiki watumishi hewa kwenye halmashauri...
View ArticleTCRA waikabidhi leseni ya biashara kampuni ya Agano Safi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Agano Safi, Iyaloo Ya Nangolo leseni ya biashara itakayoiwezesha kutoa huduma za...
View ArticleKamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya jamii yatembelea mradi wa...
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya jamii wakipitia taarifa ya shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kuhusiana na upanuzi wa masafa ya usikivu kisarawe pwani na maendeleo...
View ArticleMwenyekiti wa Kitongoji Auawa Baada ya Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mke wa...
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bweya katika Kijiji cha Bweya mkoani Geita, Augustine Katemi (42) ameuawa baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu vichakani. Mwenyekiti huyo alifariki dunia...
View ArticleProfesa Muhongo Asema Kitendo Cha Marekani Kusitisha Misaada ya MCC...
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Muhongo amesema kuwa kwa Tanzania kutopatiwa fedha na Marekani kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Changamoto za Milenia (MCC) ambazo ni Dola za Marekani milioni...
View ArticleMwakyembe Apokea Marekebisho ya Sheria Manunuzi
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe amepokea taarifa ya utafiti wa marekebisho ya Sheria ya Manunuzi ya Umma kutoka Tume ya kurekebisha Sheria. Akipokea taarifa hiyo jana Jijini Dar...
View ArticleWabunge Wataka Wanaoharibu Miundombinu ya DART wachukuliwe hatua Kali
KAMATI ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeiagiza serikali kuwachukulia hatua kali wale wote waliovamia miundombinu ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) na kuigeuza kuwa masoko ya bidhaa...
View ArticleMabenki sasa kupata taarifa za wadaiwa wa HESLB
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Jerry Sabi (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya CreditInfo Tanzania Ltd Bw. Davith Kahwa wakisaini mkataba...
View ArticleVigogo NHC na EWURA Wakana Kulipwa Mhashara wa Milioni 36 kwa Mwezi
Mabosi wa mashirika mawili ya Serikali nchini, wanaodaiwa kulipwa mshahara wa Sh milioni 36, wamekanusha madai hayo, huku wakielezea kushangazwa na taarifa hizo wakati hata nusu ya fedha hizo,...
View ArticleHali si Nzuri Bandari ya Dar es Salaam…..Mizigo Yapungua Kwa Asilimia 50
Hali si shwari kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) baada ya wafanyabiashara wa mataifa yanayotumia Bandari ya Dar es Salaam kutafuta sehemu nyingine kiasi cha kusababisha kiwango cha...
View ArticlePICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la...
. Ni safari ya kwanza ya nje ya nchi kwa Rais Magufuli toka alipoteuliwa kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania October 2015, kasafiri kwa gari kwenda Rwanda ambapo kwenye siku yake ya kwanza...
View Article