Naibu Waziri wa Afya Dr Kigwangala Azindua Wodi Mpya Ya Wagonjwa Mahututi...
Serikali imesema ina mpango wa kusitisha kupeleka wagonjwa nje ya nchi kupatiwa matibabu na kuhakikisha kila kitengo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kinakuwa na chumba cha wagonjwa...
View ArticlePaul Makonda Amkataa Hakimu Anayesikiliza Kesi ya Kuwakashfu Makada Wenzake...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda jana alitinga mahakamani na kumkataa hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi iliyofunguliwa dhidi yake na makada wawili wa zamani wa CCM wanaodai aliwakashifu. Kesi...
View ArticleMagazeti Ya Leo Ijumaa Ya March 4
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleDRC: Nani alihusika na mauaji ya askari wa kulinda amani wa Tanzania Beni?
Askari wawaili wa kulinda amani kutoka Tanzania wakipiga doria nje ya mji wa Goma, Oktoba 6, 2013. Nani alihusika na mauaji ya askari wa kulinda amani wa Tanzania mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia...
View ArticleUmoja wa Washairi Tanzania wazinduliwa (UWASHATA)
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Washairi Tanzania (UWASHATA) leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni...
View ArticleMkurugenzi Maswa Afariki Dunia Ghafla Kabla ya Ziara ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekatisha ziara yake ya siku sita mkoani Simiyu, baada ya kifo cha ghafla cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa (DED), Trasias Kagenzi kilichotokea juzi...
View ArticleSSRA Yatetea Uraia Wa Dr Wangwe Ambaye Aliteuliwa Kukaimu NSSF na Kisha...
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imetetea uraia wa Dk Carina Wangwe ikisema ni Mtanzania kwa kuandikishwa tangu mwaka 1999. Dk Wangwe aliteuliwa juzi na Waziri wa...
View ArticleChadema Yaunda Chombo Kipya Cha Kulisimamia Jiji la Dar es Salaam
Katika kile kinachoonekana kutaka kuliongoza Jiji la Dar es Salaam kwa mafanikio ya kupigiwa mfano, Chadema imeunda chombo kipya cha uongozi katika jiji hilo na kukiita ‘Uongozi wa Dar es Salaam Kuu’....
View ArticleMbowe Afunguka Sakata la Umeya Dar
Freeman Mbowe, mwenyekiti mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) amesema kuwa, umoja huo kamwe hautaomba Umeya wa Jiji la Dar es Salaam bali watadai. Amesema, Jeshi la Polisi...
View ArticleHow to: Send an SMS with PIC16F628A and SIM900A
In this article I’ll show you one way of sending an SMS using a PIC 16F628A and a SIMCOM SIM900A module. In a previous article, I did a firmware upgrade on my GSM module, so it would get registered to...
View ArticleThese Raspberry Pi Applications Are Probably Better Than Yours
See how people around the world are using Raspberry Pis to spread information freely. The Raspberry Pi 3 came out earlier this week, and with the addition of WiFi and Bluetooth capability, Raspberry...
View ArticleThe Fatal Error 53 and Apple’s Delayed Response
Error 53 bricked iPhones that had been tampered with, but now Apple is offering a solution. If you’ve been one of the thousands of people encountering an “Error 53″ message after the latest iOS...
View ArticleHoverboards: How Do They Work?
The Hoverboard Controversy Hoverboards, or more accurately, balance boards, self-balancing scooters, or Segways without handlebars, were one of the hottest items last holiday season. In more recent...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamad azungumzia hali ya afya yake leo
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake. Amesema...
View ArticlePichaz 16: kutoka kwenye ‘Siwezi, Naogopa Tour’ ya Baraka da Prince na Mirror..
Mirrror na Baraka da Prince wamekamilisha Headlines za March 14 2016 baada ya kufanya bonge la show Club Maisha Basement, Dar es salaam ikiwa ni Tour yao yapamoja waliipatia jina la Siwezi, Naogoapa...
View ArticleMengine yaliyofanywa na Malkia wa Nguvu Doris Mollel kwenye sekta ya Afya….
March 12 ilikua ni kelele cha Kampeni ya Malkia wa nguvu ,Kampeni ambayo ilikua ikiendeshwa na Clouds Media Group kilele cha kampeni hii kiliambatana pia na utolewaji wa Tuzo kwa wale Malkia wa nguvu...
View ArticleVideoMPYA: ‘My Life’ ya Dogo Janja imeachiwa tayari
Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka Tip Top Connection 2016 aliachia hit single yake ya ‘My Life’ , ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za nyuma....
View ArticleKigwangalla Awapa Pole CHADEMA Kwa Kumchagua Dr. Machinji Kuwa Katibu Mkuu Wao
Zikiwa zimepita siku mbili toka kupatikana kwa Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA Dk Vincent Mashinji, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ameibuka na...
View ArticleBaraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Lampongeza Rais Magufuli Kwa Kutumia...
Na Lorietha Laurence- MAELEZO Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa uzalendo wake wa kuitumia lugha ya Kiswahili...
View ArticleBAADA YA RICH MAVOKO, AY NAYE AUNGANA NA WCB By News Room2 – March 14, 2016 0
Siku chahe baada ya Rich Mavoko kusaini na mkataba wa chini ya lebo ya WCB, leo msanii AY ameposti picha ambayo inamuonesha akiwa na meneja wa lebo ya WCB Sallam iliyokuwa na ujumbe wa unaothibitisha...
View Article