Obama: "sababu za shambulizi bado hazijajulikana"
Na RFI Rais wa Marekani Barack Obama amesema Alhamisi hii kuwa sababu za wahusika wa shambulizi lililogharimu maisha ya watu wengi katika kaunti ya San Bernardino (California) Jumatano usiku wiki hii...
View ArticleStatement by Ambassador Ramadhan Mwinyi on Culture of Peace
The General Assembly met on Thursday to consider a report of the Secretary – General on the Culture of Peace. The following is the statement delivered by H.E Ambassador Ramadhan Mwinyi,...
View ArticleAncient Electrical Myths and Facts – open to debate
Introduction What is the purpose of this article? It’s pretty simple, actually. In this article, I wish to reinforce the fact that the ancient civilizations were far more technically developed than...
View ArticleMiniaturization of electrical machines
Introduction Being a 21st century homo sapiens, we may deny the significance of oxygen while suffocating but we can never deny the utility of science in life. The word has penetrated deep into our...
View ArticleWafanyakazi Tanesco na Wachina Wawili Wafikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za...
Wafanyakazi wawili wa Tanesco na raia wawili wa China wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kutenda makosa kumi na sita na kusababisha hasara ya zaidi ya shilingi...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete atunukiwa Heshima ya Companion Award na...
Taasisi ya Commonwealth Partnership for Technological Management (CPTM) inayojishughulisha na kukuza ushirikiano katika nyanja ya sayansi na teknolojia kwa nchi za Jumuiya ya Madola, imemtunuku Rais...
View ArticleProf. Ole Gabriel mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya kujitolea duniani...
Bi Ritha Mushi (VSO Volunteer) akiongea na Vijana wenzake juu ya umuhimu wa kujitolea katika kongamano la siku ya kujitolea duniani lililofanyika jijini Dar es Salaam leo. Bw. Ian Tarimo anaejitolea...
View ArticleBurundi: wapiganaji 3 wauawa katika shambulizi dhidi ya afisa wa polisi
Na RFI Washambuliaji watatu wameuawa na wengine wawili wamekamatwa leo Ijumaa mjini Bujumbura baada ya kuendesha shambulizi dhidi ya gari la afisa mwandamizi wa polisi, ambaye hakuwa katika gari hilo,...
View ArticleChina yatoa dola bilioni 60 kwa maendeleo Afrika
Rais wa China Xi Jinping amewaambia viongozi wa Afrika, nchi yake itatoa dola bilioni 60 kufadhili miradi ya maendeleo barani Afrika. Xi ameyasema hayo katika mkutano wa kilele wa ushirikiano kati ya...
View ArticleKatazo la kuongeza ada kwa shule zisizo za serikali
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUndani Kigogo Wa Bandari Kufa kwa Presha!
WAKATI Rais John Magufuli akiwa kwenye zoezi la kutumbua majipu kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), mshtuko mkubwa umetokea kufuatia kigogo mwenye wadhifa wa...
View ArticleBelt Conveyor Layout | Horizontal Belt Conveyor | Inclined Belt Conveyor |...
Conveyor layouts: Belt conveyors can be designed for practically any desired path of travel. It should be noted that transfer between conveyors should be avoided where possible due to additional wear...
View ArticleDesign of Screw Conveyor | Size of Screw Conveyor | Screw Conveyor Capacity...
Design of Screw Conveyor: The size of screw conveyor depends on two factors 1. The capacity of the conveyor 2. The lump size of the material to be conveyed (Maximum dimensions of the particle) Usually...
View ArticleMkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam Awaagiza Wakurugenzi Kuwaondoa Ombaomba Waliko...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri za jiji la Dar es Salaam, kuwaondoa ombaomba wote walioko katika barabara za jiji, kwani wanachangia uchafu....
View ArticleUkimya wa Lowassa,Sumaye na Mbowe Kuhusu MAJIPU Yanayotumbuliwa na Magufuli...
Ukimya wa wanasiasa walioongoza harakati za kupambana na ufisadi katika majukwaa ya kisiasa, wakati huu Serikali ikichukua hatua za wazi na haraka kukabiliana na ubadhirifu wa mali za umma, umeibua...
View ArticleGazeti la Dagens Nyheter(Sweden); Magufuli atajwa Kuwachonganisha Marais...
Dagens Nyheter ni gazeti kubwa kushinda yote nchini Sweden, ndio ‘Daily News’ lao kwa maana ya jina la gazeti. Katika toleo lake la Ijumaa Desemba 4, habari za John Magufuli zimepamba pia gazeti hilo....
View ArticleBalozi Sefue: Maagizo Ya Rais Magufuli Hayavunji Sheria ya Ununuzi
Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema maagizo ya Rais Magufuli kutaka fedha zilizokuwa zitumike kwa matumizi yasiyo ya lazima, kupelekwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo nchini,...
View ArticleManchester City wapigwa na Stoke City bao 2-0
Mshambuliaji wa Stoke City Marko Arnautovic (kulia) akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya saba kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Britannia Stadium. Arnautovic akifunga bao la pili...
View ArticleRasimu ya Mpango wa Kuyalinda Mazingira Yapatikana Paris
Hatua kubwa imepigwa katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira unaoendelea mjini Paris, kutafuta makubaliano ya kudumu yatakayopunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi na kuyanusuru...
View Article