Anayetaka uspika ruksa – CCM
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dar es Salaam. Wakati makada wa CCM, wakionyesha nia ya ‘kimya kimya’ kuwania nafasi ya kiti cha Spika wa Bunge la 11, chama hicho kimesema anayetaka nafasi...
View ArticleZijue saa 72 za Dk Magufuli akiwa Ikulu
Rais John Magufuli Dar/Mikoani. Baada ya Rais John Magufuli kuanza kwa kishindo maisha ya Ikulu kwa kutekeleza kauli mbiu yake ya “hapa kazi tu”, watu walioongea na gazeti hili wameonyesha...
View ArticleHalmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya...
Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni. Mwenyekiti wa CWT...
View ArticleBaraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya...
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya . Baadhi ya wahadhiri...
View ArticleMama Samia ashiriki hafla ya kuombea taifa dua amani jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
View ArticleUteuzi wa Wabunge wa Viti Maalum Wapelekea Viongozi Wa Chadema Kujiuzulu
Viongozi wa ngazi za juu mkoani Rukwa akiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Mkoa, Zeno Nkoswe wametangaza kujiuzulu nafasi zao kufuatia kutoridhishwa na uteuzi wa wabunge wa viti maalum...
View ArticleTigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015. Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo...
View ArticleDk Shein na Maalim Seif Wakutana Kwa Faragha Ikulu, Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Mohamed Shein na mwenzake wa ya CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad jana walikutana kwa faragha kwa takriban saa tano, lakini hakuna taarifa iliyotolewa...
View ArticleBibi Harusi Amkimbia Bwana Harusi Saa Chache Kabla Ya Ndoa Kufungwa
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro....
View ArticleMabalozi wa Umoja wa Ulaya wataka Tanzania kuhakikisha inaheshimu utawala...
Joint Statement on Human Rights Infringements-LHRC_FIN_SWH.pdf [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleClap On Clap Off Switch
Clap On Clap Off Switch using 555 Timer IC A “Clap On Clap Off” switch is an interesting concept that could be used in home automation. It works as a switch which makes devices On and Off by making a...
View ArticleSmart Switch for Model Aircraft Lights
The Smart Switch for Model Aircraft Lights is a simple yet efficient ambient light sensing electronic switch designed to be user programmable over a wide range from full sunlight to total darkness...
View ArticlePower-Back Surge Protection Circuit
Power-Back Surge Protector is a simple yet effective solution for protecting your valuable and sensitive electric/electronic systems. Power-Back Surge typically occurs when power returns after a...
View ArticleLayman’s RGB LED Module Circuit
Layman’s RGB LED module is an ultra-simple project realized without any microcontrollers. An RGB LED can be driven with a cmos presettable up/down counter. This is accomplished by connecting the three...
View ArticleAutomotive Electrical Systems-Part 5-Ignition Systems
So far in this series we have covered basic DC electricity theory, then batteries, generators, alternators and starters. Adding those together, we have developed an electrical circuit to get the car...
View ArticleAutomotive Electrical Systems – Part 4 – Starters
By now you are becoming more familiar with how electricity is stored, generated and regulated in the automobile. It might have occurred to some of you that the electrical system only needs 80 to 100...
View ArticleSiku ya pili baada ya Dk.MAGUFULI kutembelea Muhimbili..ukweli wa mashine za...
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili sambamba na kumsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali...
View ArticleZitto Kabwe Atoa Ushauri Muhimu Kwa Rais Magufuli Utakaosaidia Kuleta...
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa ushauri wake kwa kiongozi mkuu wa nchi ili kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo. Zitto ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook, japo hakutaja...
View ArticleWaziri aliyeanguka kuendelea kusaidia Jimbo la Mbozi
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amesema pamoja na kuanguka kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, bado anayo nafasi ya kushiriki kuleta maendeleo ya Jimbo la...
View ArticleBibi Harusi Aliyetoroka Saa Chache Kabla Ya Ndoa Kufungwa Na Kumwacha Bwana...
Bibi harusi Doroth Msuya( Kulia ) Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi yao na kumwacha solemba bwana harusi, Joseph Machange amepatikana jijini...
View Article