NEC yaahirisha uandikishaji kwa BVR Dar es salaam
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji jijini Dar es salaa pamoja na mkoa wa Pwani kwa kutumia mashine za BVR lililokuwa linategemewa kuanza rasmi tarehe 4.7.2015 jijini Dar es...
View ArticleMafuriko Ya Lowassa Yatua Jijini Dar……Kingunge Amwaga Wino Hadharani...
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa amepata udhamini wa kishindo katika mkutano uliofanyika jana katika ofisi kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni. Lowassa alipata udhamini...
View ArticleACT-Wazalendo Kurudisha Mashamba ya Mkonge kwa Wananchi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kina shabaha ya kurejesha kwa wananchi mashamba ya mkonge yaliyouzwa kwa matajiri wachache ambao kwa sasa hawayatumii kwa kilimo cha zao hilo. Pia chama hicho...
View ArticleRais Kikwete Akiri Mazingira Mabovu Magereza
RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwapo mazingira mabovu ya Jeshi la Magereza nchini na kulitaka jeshi hilo kubuni njia za uzalishaji wa bidhaa zao zitakazoweza kuwaletea faida na taifa kwa ujumla....
View ArticleNCCR- Mageuzi Wasema Hawana Mpango wa Kujitoa UKAWA
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema hakitajitoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) pamoja na kuwapo kwa vikwazo vya ugawaji wa madaraka ndani ya umoja huo. Akizungumza katika kikao cha Kamati...
View ArticleBunge linapochemka ndio raha yetu- Lissu
Dodoma . Bunge la 10, ambalo linamaliza kazi yake Julai 8 kabla ya kuvunjwa siku moja baadaye, lilikuwa na mengi, lakini mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anasema kilichowafurahisha wapinzani...
View ArticleJK: Nikisamehe wafungwa wanaongezeka 3,000
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete, ameelezea kushangazwa na ongezeko la uhalifu nchini kwamba kila anapotoa msamaha kwa wafungwa 4,000 katika sherehe za Muungano, lakini inapofika siku ya Uhuru,...
View ArticleKada achukua fomu, atembea hadi stendi
Mikoani . Antony Chalamila (66) amekuwa mgombe wa 41 kuchukua fomu ya kuomba kupitishwa na CCM kuwania urais, lakini kivutio kilikuwa ni jinsi alivyochapa mguu kutoka ofisi za chama hicho hadi stendi...
View ArticleUrais 2015: Membe Adai Pinda Anamnyima Usingizi
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia anaomba CCM impitishe kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, Bernard Membe amekiri kwamba katika...
View ArticleMagaidi Yaitikisa Tena Morogoro
POLISI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata washukiwa wa ugaidi waliokuwa na mifuko mikubwa iliyokuwa na majambia na bunduki kadhaa aina ya Shot gun....
View ArticleWagombea Urais Wafika 42 CCM
MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Banda Sonoko, jana amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho ili kugombea urais kwenye Uchaguzi Mkuu ujao akiwa ni mgombea wa 42. Baada ya kuchukua...
View ArticleLowassa Awaburuza Wenzake Urais CCM…… Ni matokeo ya utafiti kwenye wilaya 20
Waziri Mkuu mstaafu, Monduli, Edward Lowassa ametajwa kuongoza katika kutaja vipaumbele vya maendeleo ikiwamo kupunguza tatizo la Ajira nchini na kuinua Elimu, miongoni mwa kundi la wanasiasa...
View ArticleMpinzani wa Rais Museveni kuitikisa Uganda akitokea Ulaya
Taharuki imetanda mjini Kampala Uganda baada ya habari kuenea kuwa mpinzani mkuu wa rais Yoweri Museveni ,aliyekuwa waziri mkuu Amama Mbabazi anarejea leo. Inadaiwa kuwa polisi wametumwa katika...
View ArticleKumekucha CCM: Baraza la Ushauri la Wazee( Mkapa, Mwinyi na Wengine) Kukutana...
Hatimaye kile kikao cha Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachowahusisha pia marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, kinatarajiwa kufanyika wakati wowote wiki hii...
View ArticleWalimu wanyolewa sehemu za siri kishirikina
WALIMU katika shule ya msingi Nambaza Kata ya Nansimo wilayani Bunda, wamesema watahama shule hiyo endapo serikali ya wilaya hiyo haitachukua hatua madhubuti kukomesha ushirikina shuleni hapo....
View ArticleKiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri Hisham Barakat ameuawa kutokana na majeraha aliopata baada ya bomu kulipua gari lake mjini Cairo. Msafara wa Bwana Barakat ulishambuliwa ulipokuwa ukipitia katika...
View ArticleDira ya Dunia Tv kuzindua sura mpya leo
Idhaa ya Kiswahili ya BBC Swahili itazindua sura mpya ya “Dira ya Dunia” leo! Kipindi hicho kinachopeperusha taarifa ya habari kwa zaidi ya watazamaji milioni 6.9 itakuwa na sura mpya inayojumuisha...
View ArticleJe,unaweza kuishi ukiwa uchi?
Watu wengi wasingejihisi vyema kuvua nguo zao zote na kusalia uchi wa mnyama katika maeneo ya uma,lakini kwa wengine ni maisha yao. Mwandishi kutoka nchini Marekani Mark Haskel Smith alikabiliana na...
View ArticleUse Relays to Control High-Voltage Circuits with an Arduino
To control high-voltage or high-power circuits with an Arduino, you have to isolate them from the Arduino with a relay. Here’s how! Circuits that operate at high voltages or at high currents cannot be...
View ArticleA World Without Cords: An Overview of Wireless Charging
Qi (pronounced as “chee”) charging is an optimized inductive charging, also known as “wireless charging” allowing you to charge your devices wirelessly. Only compatible devices’ batteries are charged...
View Article