Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa Kwa Tiketi ya CCM, Deo Filikunjombe Apita Bila...
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Ludewa kwa tiketi ya CCM Bw. Deo Filikunjombe, amepita bila kupingwa wilayani humo baada ya Mgombea wa Chadema kushindwa kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa...
View ArticleMagufuli ataja vipaumbele 25
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akihutubia wafuasi wa chama hicho waliofurika katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho jana. Picha na Edwin...
View ArticleMsindai kugombea ubunge Singida mjini kwa tiketi ya CHADEMA
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa wenyeviti CCM mikoa ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya manispaa ya Singida,...
View ArticleVijana kutoka Dar washuhudia Coke Studio ‘live’ Nairobi
Vijana kutoka Tanzania wakiawa katika picha ya pamoja na msanii kutoka Marekani Ne-Yo wakati wa onyesho la Coke Studio Afrika msimu wa tatu lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Msanii wa...
View ArticleTANAPA yatangaza kampeni ya miezi sita kuhamasisha utalii wa ndani
Kaimu Meneja Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa, TANAPA,Victor Ketansi akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya Kampeni ya uhamasishaji wa utalii wa ndani kwa wazawa itakayodumu kwa muda...
View ArticleNi Kampeni za Mtaa kwa Mtaa: LOWASSA Aibukia Tandale Sokoni Kuzungumza na...
Mgombea wa Urais wa Ukawa Edward Lowassa pamoja na mgombea mwenza Juma Duni Haji leo wamewashitukiza wafanyabiashara katika soko la Tandika jijini Dar es salaam. Aidha, wagombea hao waliwasili...
View ArticlePolisi yamtahadharisha Lowassa staili ya kampeni zake
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtahadharisha mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa kuwa kampeni alizoanza kwa kuyatembelea makundi kadhaa zinaweza kutumiwa na maadui...
View ArticleLawrence Masha apelekwa Segera hadi taratibu za dhamana kukamilishwa
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kutoa lugha ya matusi kwa maofisa wa polisi hapo...
View ArticleBinary Addition
Under Digital Electronics We have discussed about the topic binary arithmetic as a whole, now we will concentrate on the topic binary addition separately. Addition, subtraction, multiplication and...
View ArticleBinary Subtraction
Under Digital Electronics Like addition, subtractions also plays an important role in binary arithmetic as well as in digital electronics system. We have discussed about the binary subtraction process...
View ArticleBinary Multiplication
Under Digital Electronics We know there are four fundamental operations in arithmetic, addition, subtraction, multiplication and division. We have already discussed about the binary addition and...
View ArticleBinary Division
Under Digital Electronics Finally we will discuss the last part of binary arithmetic which is last but not the least in detail i.e. binary division . Division is also a very important part of...
View ArticleASCII Code
Under Digital Electronics We have discussed about the alphanumeric codes in a different article. We now know that these codes are used to represent different data, letters, numbers by distinguish...
View ArticleWaliotangazwa kupita bila kupingwa CCM wakatiwa rufaa
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kimekata rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa majimbo ya Mlalo, Bumbuli, Ludewa na Peramiho yaliyotangazwa kuwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi...
View ArticleNeno Fupi La Leo: Mjinga Na Mpumbavu..
Ndugu Zangu, Nilikuwepo pale Viwanja vya Jangwani. Nilipomsikia Ben Mkapa akiwaita wapinzani ‘ Wapumbavu na Malofa’, basi, nikajua hiyo ndio ingekuwa ‘ Habari ya Mjini’. Nilikuwa sahihi. Ni kwa vile...
View ArticleWanadiaspora wapongezwa kwa kusaidia gurudumu la elimu Zanzibar
Jumuiya ya Wazanzibari waishio Nchini Marekani (ZADIA), imepongezwa kwa kusaidia gurudumu la maendeleo ya Elimu visiwani Zanzibar. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Zanzibar Bw....
View ArticleKamanda Mpinga atembelea kambi ya timu ya kamati Amani ya viongozi wa dini...
Kamanda Mpinga, akisalimiana na walimu wa timu hiyo, baada ya mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. *Yajifua uwanja wa Karume kujiandaa kuwasambaratisha wenzao wa...
View ArticleWaziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum azindua bodi mpya ya PPF na mafao mapya ya...
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi wa Bodi Mpya ya PPF na Mafao Mapya ya Mfuko huo Dar es Salaam jana. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto), akimkabidhi mfano wa...
View ArticleESAURP yaandaa mafunzo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Mbeya
Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya...
View ArticleWapiga Kura Wamtaka Rais Mkapa Awaombe Radhi kwa Kuwatukana
MUUNGANO wa wapiga kura Tanzania (TANVU), umeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumchukulia hatua, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwa kitendo alichokifanya kuvitukana vyama vya upinzani kwa kuwaita...
View Article