Rais John Pombe Magufuli leo ametinga ofisini kwa waziri mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na kufanya mazungumzo ya takribani saa moja. Rais aliingia ofisini kwa waziri mkuu Majaliwa majira ya saa tisa na kulakiwa na mwenyeji wake na baadae walikaa kwa mazungumzo yao wawili tu. Baada ya mazungumzo hayo rais alizungumza kwa muda mfupi sana na makatibu muhutasi wa waziri mkuu kabla ya kuondoka kuelekea Ikulu.
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat