Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Mugabe kayasema haya baada Ya Obama kuhalalisha ndoa za jinsia moja…

$
0
0

Ndani ya wiki moja baada ya Serikali ya Marekani kupitisha Sheria ya kuruhusu Ndoa za jinsia moja kwa raia wake kumekuwepo na maoni mbalimbali kutoka kwa watu kuhusiana na maamuzi hayo. Mmoja wa watu walioguswa na maamuzi hayo ni Rais wa Zimbabwe,  Robert Mugabe ambaye ameeleza hisia zake baada ya maamuzi hayo kupitishwa. Katika mahojiano na radio ya Taifa ya Zimbwabwe,  Mugabe  alisema hawezi kupingana na maamuzi ya nchi hiyo kwani ni sheria ambayo imepitishwa na Serikali na kama ni hivyo ataamua kufunga safari kwenda mpaka Washington kuomba kufunga ndoa na Rais Barack Obama. Ameongeza kuwa, Serikali ya Marekani imekuwa ikiongozwa na wajinga ambao ni  wafuasi wa shetani wanaoitukana taifa la Marekani akisisitiza Marekani imechafuka na wanaiendesha nchi kwa dhana zao binafsi ambazo ni potofu FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles