Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Majina na Jumla ya Wabunge wote wa Bunge la 11 na Majimbo watokayo

$
0
0

1 Dk Charles Tizeba- Buchosa CCM 2 Nimrod Mkono- Butiama CCM 3 Omar Badwel- Chilonwa CCM 4 Kanyasu John- Geita Mjini CCM 5 Pudensiana Kikwembe- Kavuu CCM 6 Sixtus Mapunda- Mbinga Mjini CCM 7 Hassan Masala- Nachingwea CCM 8 Abdallah Chikota- Nanyamba CCM 9 Richard Mbogo- Nsimbo CCM 10 Ester Matiko- Tarime Mjini CHADEMA 11 Mwakajoka Frank- Tunduma CHADEMA 12 Joshua Nassari- Arumeru Magharibi CHADEMA 13 Dk Shukuru Kawambwa- Bagamoyo CCM 14 Andrew Chenge- Bariadi Magharibi CCM 15 Oscar Mukasa- Biharamulo Magharibi CCM 16 Wilfred Lwakatare- Bukoba Mjini CHADEMA 17 Jasson Rwikiza- Bukoba Vijijini CCM 18 Dotto Biteko- Bukombe CCM 19 Eshter Bulaya- Bunda Mjini CHADEMA 20 Raphael Chegeni- Busega CCM 21 Atupele Mwakibete Busekelo- Rungwe Mashariki CCM 22 Bilango Samson- Buyungu CHADEMA 23 Ridhiwani Kikwete- Chalinze CCM 24 Anthony Mavunde- Dodoma Mjini CCM 25 Freeman Mbowe- Hai CHADEMA 26 Mboni Mhita- Handeni CCM 27 Musa Ntimizi- Igalula CCM 28 Dk Dalaly Kafumu- Igunga CCM 29 Musa Hassan Zungu- Ilala CCM 30 Janeth Mbene- Ileje CCM 31 Anjelina Mabula- Ilemela CCM 32 Mchungaji Peter Msigwa- Iringa Mjini CHADEMA 33 William Lukuvi- Isimani CCM 34 Njalu Daud Silanga Itilima- Bariadi Mashariki Mkoa CCM 35 Jumanne Kishimba- Kahama Mjini CCM 36 Josephat Kandege- Kalambo CCM 37 Godfrey Mgimwa- Kalenga CCM 38 Innocent Bashangwa- Karagwe CCM 39 Silvestry Koka- Kibaha Mjini CCM 40 John Mnyika -Kibamba CHADEMA 41 Ally Seif Ungando- Kibiti CCM 42 Hasna Mwilima- Kigoma Kusini CCM 43 Kigua Omari- Kilindi CCM 44 Vinance Mwamoto- Kilolo CCM 45 Peter Lijualikali- Kilombero CHADEMA 46 Vedasto Edger- Kilwa Kaskazini CUF 47 Saidi Bungara- Kilwa Kusini CUF 48 Luhaga Mpina- Kisesa CCM 49 Suleman Nchambi- Kishapu CCM 50 Emmanuel Papian- Kiteto CCM 51 Edwin Sanda- Kondoa Mjini CCM 52 Stephen Ngonyani- Korogwe Vijijini CCM 53 Mary Chatanda- Korogwe Mjini CCM 54 Shanif Mansoor- Kwimba CCM 55 Dk Harrison- Mwakyembe Kyela CCM 56 Innocent Bilakwate- Kyerwa CCM 57 Zubery Kuchauka- Liwale CUF 58 Onesmo ole Nangole- Longido CHADEMA 59 Victor Mwambalaswa- Lupa CCM 60 Cosato Chumi -Mafinga Mjini CCM 61 Boniventura Destery- Magu CCM 62 Dk Norman Sigala- Makete CCM 63 Seif Gulamali- Manonga CCM 64 Mashimba Ndaki- Maswa Magharibi CCM 65 Stanslaus Nyongo- Maswa Mashariki CCM 66 Mangungu Ali- Mbagala CCM 67 Aroon Mulla- Mbarali CCM 68 Joseph Mbilinyi- Mbeya Mjini CHADEMA 69 Augustino Masele- Mbogwe CCM 70 Zacharia Paul Isaay- Mbulu CCM 71 Hassan Hassan- Babali Mchinga CUF 72 Salum Khamis- Meatu CCM 73 Joseph Haule- Mikumi CHADEMA 74 Charles Kitwanga- Misungwi CCM 75 Dustan Kitandula- Mkinga CCM 76 Abdallah Ulega- Mkuranga CCM 77 Rashidi Shangaz- Mlalo CCM 78 Susana Kiwanga- Mlimba CHADEMA 79 Julius Kalanga- Monduli CHADEMA 80 Mgumba Omari- Morogoro KusiniMashariki CCM 81 Anthony Komu- Moshi Vijijini CHADEMA 82 George Lubeleje- Mpwapwa CCM 83 Ezekiel Maige- Msalala CCM 84 Nape Nnauye- Mtama CCM 85 Livingstone- Lusinde Mtera CCM 86 Hawa Ghasia- Mtwara Vijijini CCM 87 Mahamoud Mgimwa- Mufindi Kaskazini CCM 88 Mendrad Kigola- Mufindi Kusini CCM 89 Atashasta Nditiye- Muhambwe CCM 90 Rajab Adadi- Muheza CCM 91 Charles Mwijage- Muleba Kaskazini CCM 92 Pro Anna Tibaijuka- Muleba Kusini CCM 93 Vedastus Mathayo- Musoma Mjini CCM 94 Prof Sospeter Muhongo- Musoma Vijijini CCM 95 Prof Jumanne Maghembe- Mwanga CCM 96 Kangi Lugola- Mwibara CCM 97 Dua Nkuruma- Nanyumbu CCM 98 Cesil Mwambe- Ndanda CHADEMA 99 George Mkuchika – Newala Mjini CCM 100 Alex Rafael Gashaza- Ngara CCM 101 Joram Hongoli Njombe Kaskazini CCM 102 Ally Mohamedi- Nkasi Kaskazini CCM 103 Desderius Mipata- Nkasi Kusini CCM 104 Dk Diodorus Kamala- Nkenge CCM 105 Stanslaus Mabula- Nyamagana CCM 106 Hussein Kassu- Nyangwale CCM 107 Hussein Bashe- Nzega Mjini CCM 108 Jumaa Aweso- Pangani CCM 109 Jenista Mhagama- Peramiho CCM 110 Joseph Selasini – Rombo CHADEMA 111 Mohamed Mchengerwa- Rufiji CCM 112 Saul Amon Rungwe -Magharibi CCM 113 Dk Mathayo David- Same Magharibi CCM 114 Naghenjwa Kaboyoka- Same Mashariki CHADEMA 115 William Ngereja- Sengerema CCM 116 Steven Masele- Shinyanga Mjini CCM 117 Joseph Kakunda- Sikonge CCM 118 Tundu Lissu- Singida Mashariki CHADEMA 119 Ahmed Salum- Solwa CCM 120 Leonidas Gama- Songea Mjini CCM 121 Aeshi Hilaly- Sumbawanga Mjini CCM 122 Richard Ndasa- Sumve CCM 123 Almas Maige- Tabora Kaskazini CCM 124 Emmanuel Mwakasaka- Tabora Mjini CCM 125 Abdallah Mtolea- Temeke CUF 126 Ramo Makani- Tunduru Kaskazini CCM 127 Daimu Mpakate -Tunduru Kusini CCM 128 Saed Kubenea- Ubungo CHADEMA 129 Joseph Mkundi- Ukerewe CHADEMA 130 Waitara Mwita- Ukonga CHADEMA 131 Magreth Sitta- Urambo Mashariki CCM 132 James Mbatia -Vunjo NCCR-Mageuzi 133 Japhet Hasunga- Vwawa CCM 134 Gipson Ole Meseyeki- Arumeru Magharibi CHADEMA 135 Joshua Nassari -Arumeru Mashariki CHADEMA 136 Pauline Gekul -Babati Mjini CHADEMA 137 Jitu Vrajlal Son -Babati Vijijini CCM 138 Albert Obama- Buhingwe CCM 139 January Makamba- Bumbuli CCM 140 Boniphace Mwita -Bunda Vijijini CCM 141 Lolesia Bukwimba- Busanda CCM 142 Dr Merdad Kalemani -Chananja Chato CCM 143 Juma Nkamia -Chemba CCM 144 Ahmed Shabiby -Gairo CCM 145 Joseph Musukuma- Geita Vijijini CCM 146 Mary Nagu -Hanang CCM 147 Magdalena Sakaya- Kaliua CUF 148 Willy Qambalo- Karatu CHADEMA 149 Daniel Nsanzugwanko- Kasulu Mjini CCM 150 Holle Vuma- Kasulu Vijijini CCM 151 Hamoud Jumaa- Kibaha Vijijini CCM 152 George Simbachawene- Kibakwe CCM 153 Peter Serukamba- Kigoma Kaskazini CCM 154 Zitto Kabwe -Kigoma Mjini ACT 155 Bawasili Mbaraka- Kilosa Kati CCM 156 Suleiman Jaffo- Kisarawe CCM 157 Dk Ashatu Kijaji -KONDOA VIJINI CCM 158 Job Ndugai -Kongwa CCM 159 Hassan Seleman -Lindi Urban CCM 160 Kitwana Dau- Mafia CCM 161 Dk Haji Mponda -Malinyi CCM 162 Manase Njeza -Mbeya Vijijini CCM 163 Martin Msuha- Mbinga Rural CCM 164 Pascal Haonga- Mbozi CHADEMA 165 Flatey Gregory Massay -Mbulu Vijijini CCM 166 Mhandisi Kamwele- Mlele CCM 167 David Silinde-Momba CHADEMA 168 Mbena Joseph- Morogoro Kusini CCM 169 AbdulaAziz Abood- Morogoro Mjini CCM 170 Jaffar Michael -Moshi Mjini CHADEMA 171 Sebastian Kapufi -Mpanda Mjini CCM 172 Moshi Kakoso- Mpanda vijijini CCM 173 Maftaah Nachuma -Mtwara Mjini CUF 174 Suleiman Saddiq Murad -Mvomero CCM 175 Rashid Akbal -Newala Vijijini CCM 176 William Ole Nasha -Ngorongoro CCM 177 Edward Mwalongo -Njombe Urban CCM 178 Dr Khamis Kigwangalla- Nzega Vijijini CCM 179 Lameck Airo- Rorya CCM 180 Kassim Majaliwa- Ruangwa CCM 181 Marwa Ryoba- Serengeti CHADEMA 182 Dk Godwin Mollel -Siha CHADEMA 183 James Ole Millya -Simanjiro CHADEMA 184 Philipo Mulugo- Songwe CCM 185 Ahmad Katani -Tandahimba CUF 186 Mussa Mbarouk -Tanga Mjini CUF 187 John Heche- Tarime Vijijini CHADEMA BUNGE LA KUMI NA MOJA (2015-2020) 1. Idadi ya Majimbo ni – 264. Majimbo 258 tayari yameshapata Wabunge kama ifuatavyo: CCM wabunge – 182 CUF – 39 CHADEMA – 35 ACT – 1 NCCR – 1 2. Baraza la Wawakilishi – 5 3. Uteuzi wa Raisi – 10 4. Mwanasheria Mkuu – 1 5. Spika wa Bunge kama hatakuwa Mbunge – 1 6. Viti Maalumu (i) CCM – 63 (ii) CHADEMA – 43 (iii) CUF – 7 (iv) NCCR – 0 (v) ACT – 0 7. Majimbo yafuatayo hayajapata Wabunge kutokana na sababu mbalimbali na uchaguzi utarudiwa. (a) Lushoto (b) Ulanga Mashariki (c) Ludewa (d) Masasi (e) Handeni Mjini (f) Arusha Mjini (g) Lulindi (h) Kijitoupele HIVYO BASI; Jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Kumi na moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watakuwa (396) kwa mgawanyo ufuatao; 1. CCM – 245 2. CHADEMA – 78 3. CUF – 46 4. ACT – 1 5. NCCR – 1 6. Uteuzi wa Rais – 10 7. Mwanasheria Mkuu – 1 8 . Wawakilishi – 5 9. Spika – 1 10. Majimbo yaliyosalia 8

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles