Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi la kutangaza matokeo ya Urais ambapo jioni hii imetoa matokeo ya majimbo mengine 10 Majimbo hayo ni Bumbuli, Kibaha Mjini,Chambani,Mtambile,Nsimbo,Ndanda,Kiwani,Kiwengwa Idadi hii imetimiza idadi ya majimbo 13 ukijumulisha na yale matatu yaliyokuwa yametangazwa leo asubuhi. Katika majimbo haya, Magufuli ameshinda majimbo 9 na Lowassa ameshinda majimbo Manne Msikilize Mwenyekiti wa Tume Akitangaza
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat