Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

DC Singida azindua duka jipya la kisasa la mtandao wa simu za mkononi la Halotel

$
0
0

  Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi akikata utepe kuzindua duka jipya la mtandao mpya wa simu za Mkononi wa Halotel katika hafla fupi ya uzinduzi wa duka hilo uliofanyika jana kwenye viwanja vya ofisi za kampuni hiyo eneo la Stendi ya zamani. Mkuu wa Wilaya ya Singida Saidi Amanzi akizungumza na wafanyakazi wa Halotel kabla ya kukata utepe kuzindua duka jipya Mkoani Singida jana. Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania, Khanh Duy akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya Singida Said Amanzi jinsi ya kutumia Mtandao wa Halotel mara baada ya kuzindua duka hilo jipya jana. Mkurugenzi wa Kmpuni mpya ya simu za mkononi ya Halotel Tran  Khanh Duy akimwelekeza Mkuu wa Wilaya ya Singida Said Amanzi jambo. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP  Simon Haule akipokea zawadi ya simu kutoka kwa Mkurugenzi wa Halotel Khanh Duy. BAADHI ya viongozi pamoja na wadau wa Mtandao wa mawasiliano ya Halotel wakiwa katika ofisi mpya za mtandao huo, uliozinduliwa jana na mkuu wa Wilaya ya Singida Saidi Amanzi. Mmoja wakala wa Halotel akipokea zawadi ya Simu kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Saidi Amanzi. DC Amanzi akipokea zawadi ya simu ya Halotel kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Tran  Khanh Duy.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles