Wagombea wa CUF jimbo la Malindi wakiwa katika Meza kuu wakati wa uzinduzi wa Kampeni za kuwania jimbo hili jana Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CUF jimbo la Malindi, Ali Saleh akijinadi hapo Mfenesi mazizi jana Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi Wafuasi na wapenzi wa CUF waliohudhuria mkutano wa kampeni kwa jimbo la Malindi Mfenesi Mazizi Hatimaye leo CUF Jimbo la Malindi imezindua kampeni huko Mfenesi Mazizi kwa kishindo kikubwa. Walioshiriki uzinduzi huo ni Ally Saleh na Nassor Amin Said na Amina Uwesu .
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat