Mgombea Ubunge Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu akichukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM kwa MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI, Mkurugenzi Mtendaji HAJJAT MWASUMILWE. Nyalandu akihutubia wananchi Kinyagigi. Lazaro Nyalandu akiwa Kinyagigi. Wananchi wa kijiji cha Kinyagigi wakimpokea Nyalandu.
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat