Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Breaking News: Polisi Watumia Mabomu ya Machoz Mwanza Kuwatawanya wafuasi wa Lowassa

$
0
0

Muda  huu  polisi  wanapiga mabomu  uwanja  wa  ndege   jijini  Mwanza kuwatawanya  wananchi  waliokusanyika  kumpokea  Lowassa. Mabomu  yamepigwa  muda  mfupi  baada  ya  ndege  inayosadikiwa  kuwa  ni  ya  Lowassa  kutua  uwanjan, hali  iliyowafanya  wananchi  walipuke  kwa  furaha  huku  wakiimba  nyimbo  za  Chadema. Kadhia  hiyo  iliwafanya  Polisi  watumie nguvu  ya  ziada  kuwatawanya  wananchi hao  waliokuwa  wametanda  barabarani.

[via .]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles