Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Mwanzilishi wa Facebook kuwa baba

$
0
0

Mwanzilishi wa mtandao wa facebook Mark Zickerberg na mkewe Priscilla Chan wanatarajia mtoto wa kike. Wawili hao walitangaza katika ujumbe wao katika ukurasa wa facebook wa bwana Zuckerberg, ”Priscilla na mimi tuna habari njema:”Tunatarajiwa mtoto wa kike”, aliwaandikia takriban watu milioni 33 wanaomfuata katika mtandao huo. Katika ujumbe wake Zuckerberg mwenye umri wa miaka 31 alifichua kwamba mkewe aliharibikiwa na mimba mara tatu hapo awali,lakini akongezea kwamba hatari ya kuharibikiwa na mimba nyengine kwa sasa iko chini sana. Amesema kwamba wameamua kutoa tangazo hilo ili kuwapa watu wanaokabiliwa na tatizo kama hilo motisha wa kuendelea kuwa na subra.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles