Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Video ya ‘mbabe wa unga’ Mexico alivyonaswa na Polisi miezi 6 baada ya kutoboa Gereza

$
0
0

Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni  Joaquin Guzman a.k.a ‘ El Chapo ‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya kutoroka gerezani alikokuwa amefungwa. El Chapo  ambaye anatajwa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha dawa za kulevya na kuziingiza Marekani, amekamatwa akiwa nyumbani kwake  Los Mochis , mji wa Sinaloa  uliopo  Mexico . Kwa Rais wa Mexico hii ni good news kwake… kapost katika ukurasa wake Twitter akisema > ’ Kazi imekamilika.. Amepatikana !! ‘< Rais  Enrique Pena Nieto . Hii hapa video yenye ripoti ya kukamatwa kwake mtu wangu.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles