Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa katika vituo vya Redio na Tv. Januari 5 2016 wasanii walikutana kulijadili suala hilo, na haya ndio maamuzi waliyoafikiana.
[via LEKULE]
Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat