Quantcast
Channel: AutomobileHeat » electronics
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Kampuni ya Tigo yapata tuzo ya maonesho ya Nanenane kitaifa mkoani Lindi

$
0
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza ya kipengele cha mawasiliano kwa Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen kwenye maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen (kulia) na Afisa Utawala Tigo Lindi, Jacob Masawe  wakipozi na kombe walilopata la tuzo ya ushindi wa kwanza ya kipengele cha mawasiliano kwenye maonesho ya Nanenane. Afisa Utawala Tigo Lindi, Jacob Masawe(kushoto),Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen(katikati) na Meneja wa Tigo kanda ya Pwani Kusini mikoa ya Lindi na Mtwara,  Nderingo Materu wakipozi kwenye picha ya pamoja. Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen akinyanyua kombe juu. Meneja wa Mauzo wa Tigo mkoani Lindi, Eric Stephen akiwa kwenye picha ya pamoja na kikundi cha burudani.

[via LEKULE]

Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1695

Trending Articles